Jipatie Nakala yako: Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania by Nyerere

 
 
 
 
 

FMES,

..najua nani alihamia pale Oysterbay kwenye yaliyokuwa makazi ya Waziri Mkuu baada ya Malecela. lakini sababu nilizoelezwa mimi ni kwamba alihamia pale kwa muda wakati nyumba yake ikifanyiwa ukarabati.

..naomba usimtaje, kwasababu ukifanya hivyo utakuwa unamuonea tu, na kuharibu mjadala huu.
 
 
 
FMES,
Kama kuna mtu alimlazimisha Mwinyi kumchukua Warioba kama waziri mkuu alikuwa ni Salim.
Selection ya Mwalimu kwa waziri mkuu alikuwa ni Mkapa. Wakati huo Salim alikuwa NY na aliposikia hivyo akafunga safari wangu wangu kurudi Bongo kuhakikisha Mwinyi hamchukui Mkapa.Salim akapendekeza Warioba. I know this for certain from a close source to Salim, na hata Salim akiulizwa hivi leo hatasuta ukweli huu.
 
 

Kwani nini Salim hakumtaka Mkapa au ndio mambo ya Americanus?
 
hatujafikia download 500 bado!! Nimejitolea katika wazimu wangu kuedit toleo jipya la kijitabu hicho katika mwanga wa matukio yaliyojiri katika taifa letu kuanzia 1994 hadi sasa. Kitakuwa kama commentary hivi.
 
 

- Mkuu Jasusi, wewe najua kwamba una authority sana na hizi ishus za Mwalimu, lakini pia najua as a fact kwamba ni mmoja wa wapenzi wakubwa sana wa Mwalimu, sasa hili silijui kwa hiyo siwezi kulikana, lakini ninajua for a fact kwamba Warioba, Apiyo, na kuendelea kwa Butiku ofisi ya Rais under Mwinyi was never Mwinyi's choices, alilazimishwa na nani sujui.

- Ahsante kwa hizi info.

Respect.


FMEs!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…