Jipatie Perfumes & Deodorant DSM, Nafanya delivery, Mikoani Natuma

Mkurugenzi Mwema πŸ™πŸΏ

Samahani...

Naweza kupata kipafyumu kizuri cha kiume?

Kizuri = kile unachokipenda wewe. Au kinachopendwa sana na wateja wako.

Ndaga πŸ™πŸΏ
 
Hii kwa experience yako inakaa mda gan kwwnye nguo??
Mousuf inajitahidi kukaa,siwezi nikasema ni muda gani exactly ila mimi naona inakaa.
Kadiri unavyozidi kuitumia ndivyo nguo zako zinazidi kuizoea.
 
Mkurugenzi Mwema [emoji1545]

Samahani...

Naweza kupata kipafyumu kizuri cha kiume?

Kizuri = kile unachokipenda wewe. Au kinachopendwa sana na wateja wako.

Ndaga [emoji1545]
Zipo nyingi nzuri Mkuu kama jinsi ninavyopost.
Mimi naona zote ni nzuri maana kila moja ina upekee wake.

Wateja wangu wanapenda perfumes tofauti tofauti ila kwa sasa upepo umeelekea kwenye Mousuf.
 
Nipe utaratibu wa jinsi ya kuipata hii Mousuf. Na gharama zake mpaka kumfikia mlengwa.
 
Zipo nyingi nzuri Mkuu kama jinsi ninavyopost.
Mimi naona zote ni nzuri maana kila moja ina upekee wake.

Wateja wangu wanapenda perfumes tofauti tofauti ila kwa sasa upepo umeelekea kwenye Mousuf.
Bei yake hiyo mousuf
 
Rams, Avento, mousuf

Sasa mbona unatuchanganya. Ipi ni ze best hapo
 
Hii bado ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…