Jipatie Rangi bora za decoration kutoka SILKCOAT PAINT

Jipatie Rangi bora za decoration kutoka SILKCOAT PAINT

Joined
Jul 11, 2017
Posts
8
Reaction score
4
Kama unahitaji kufanya finishing za mjengo wako, basi kwa upande wa rangi, hakuna rangi bora kama za Silkcoat paint.
Hizi ni rangi za kituruki
-Hapa nazungumzia Stone au wengi wanapenda kuziita Drewa
  • Pia Decorative plaster hizi zipo za mifuko na ndoo, za ndoo zinaitwa Silkoterasit
  • kuna Marmarito , palace, Velvetto, metalico soft kwa wale wanaopenda kufanya decoration kwa kuta za ndani ya nyumba.
Pia rangi za kawaida kama Silk, weathergurad emulsion, binder pia zipo.

Rangi ni nzuri sana na bei zetu ni nafuu sana, tuwasiliane kupitia namba 0743682194
Kama una swali lolote kuhusiana na ramgi hizi basi we uliza hapa chini na mimi nitajibu na kutoa ushauri vile vile.
 

Attachments

  • IMG_9601.jpeg
    IMG_9601.jpeg
    734 KB · Views: 16
  • 39795259-9252-4327-8a1e-98abf7bf8aaa.jpeg
    39795259-9252-4327-8a1e-98abf7bf8aaa.jpeg
    48.5 KB · Views: 20
  • IMG_9240.jpeg
    IMG_9240.jpeg
    2.7 MB · Views: 17
  • IMG_8669.jpeg
    IMG_8669.jpeg
    1.5 MB · Views: 18
  • IMG_8492.jpeg
    IMG_8492.jpeg
    154.9 KB · Views: 14
  • IMG_8494.jpeg
    IMG_8494.jpeg
    150.5 KB · Views: 14
  • IMG_8495.jpeg
    IMG_8495.jpeg
    134.2 KB · Views: 12
  • IMG_8479.jpeg
    IMG_8479.jpeg
    1.7 MB · Views: 13
  • IMG_8478.jpeg
    IMG_8478.jpeg
    1.7 MB · Views: 17
Hizo rangi zenu za ndani silk na weather guard nje huwa zinaingiliana na hizi primer za kampuni nyingine? mfano upake alkali primer alafu upake hizo hakuna shida?
 
Hizo rangi zenu za ndani silk na weather guard nje huwa zinaingiliana na hizi primer za kampuni nyingine? mfano upake alkali primer alafu upake hizo hakuna shida?
Yes, inawekana kutumia primer au binder za kampuni nyingine
 
Ungetuwekea na bei kwa kila ndoo moja, ingependeza sana.

Swali: Je, kwa nyumba ya kawaida ya vyumba 3 vya kulala sebule na dinning room ndoo ngapi za rangi zinaweza kutosha?
 
Idadi ya ndoo za rangi utakazotumia katika nyumba yako inatemega vitu vifuatavyo
- Ukubwa wa eneo unalotaka kupiga rangi, hii hupimwa kwa square meter.
- Aina ya rangi unayotaka kupaka. Hapa unatakiwa ufahamu, rangi zipo za aina tofauti tofauti, na rangi hizi hutofautiana katika coverage wakati wa upigaji.


Baada ya kuyajua hayo, unatakiwa ujue ukubwa wa eneo lako kwa square meter then uchague rangi unayotaka kupiga, itakuwa rahisi kujua unahitaji idadi kiasi gani ya ndoo za rangi kumaliza kazi yako.
Tuwasiliane kwa namba 0743682194 kwa maelezo zaidi na ushauri, lakini pia bei ya rangi utakazo hitaji, hakika hatutoshindwana, bei ni nafuu kabisa. Asante
 
Back
Top Bottom