Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2015 ni gen ya 6, ghali sana kwa hizo specs.Hii mnaionaje wadau?View attachment 1976494
Asante mkuu nikitaka ninunue laptop itabidi nikuone kwanza aisee2015 ni gen ya 6, ghali sana kwa hizo specs.
Mkuu nimeiona hii kwenye my kariakoo web et 850000 vipi inafaa?2015 ni gen ya 6, ghali sana kwa hizo specs.
Bei ikifika laki 8 mkuu tafuta gen ya 8 kupanda, laptop ghali kwa hizo specs.Mkuu nimeiona hii kwenye my kariakoo web et 850000 vipi inafaa?View attachment 1979035
Mkuu kwani upo wapi? Maana nataka niende dar kama upo dar itabidi niwasiliane nawewe nipate laptop.Bei ikifika laki 8 mkuu tafuta gen ya 8 kupanda, laptop ghali kwa hizo specs.
Ngoja mashine yangu ifike dar nitakucheki mkuu naomba namba yako PMKama uliwahi kunitafuta ukihitaji SSD SATA nikakuambia zimeisha, sasa zipo tena kwa bei ileile ya kitongo aka ya mseleleko! Wai sasa kwa Tsh 150,000/= tu
CHIEF MKWAWA
computerarsenal View attachment 1973819View attachment 1973821