mtoto wa mjomba
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 526
- 753
Unapatkana WAP mkuuMkuu me nisaidie tu unakoprintia viroba, kwa kweli vimependeza kwelikweli
Maelewano yapo mkuu...Mbona kaka kama bei kama imechangamka sana,Dar huku kitunda bei ni 5500 sembe 5000 dona. Na hiyo ni rejareja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanda kinaitwaje? Mi nafahamu viwili hapo AKinyanambo A APA mkuu
Njia panda ya madibira..kinyanamb (A)
Hiki ni kipya...mkuu.ila tupo hapa hapa njiapanda ya madibira...ukiulizia sehem wanakoprint mifuk tu utafika.Kiwanda kinaitwaje? Mi nafahamu viwili hapo A
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nitakutembelea ili nikione, najua Gm, midano, nk.Hiki ni kipya...mkuu.ila tupo hapa hapa njiapanda ya madibira...ukiulizia sehem wanakoprint mifuk tu utafika.
Karibu san
Tunaprint wenyew .pia tunaprint oda za watu wengine.dar tup chang'ombe mtaa wa viwanda na pia mafinga- iringaMkuu me nisaidie tu unakoprintia viroba, kwa kweli vimependeza kwelikweli
Karibu San mkuu...Nitakutembelea ili nikione, najua Gm, midano, nk.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kariakoo msimbaziDar es salaam mna ofis wapi
Ni quality mbili tofauti..mkuu..Mkuu mbona dodoma sembe bado chini kwenye maduka ya jumla ni 22000 kilo 25 sijajua kiwandani wanachukua bei gani ila nahisi 19000