INAUZWA Jipatie sembe bora kutoka Iringa

INAUZWA Jipatie sembe bora kutoka Iringa

mtoto wa mjomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
526
Reaction score
753
Habari ndugu zangu...kam mjuavyo mtu ni afya na afya haiji bila kula...
Karibuni niwauzie sembe yenye ubora kwa jumla na rejareja
25kg-25500 (jumla),26000 rejareja
10KG-11000(jumla).
5kG-5500. (Jumla),6000 rejareja
Mob..+255675704870

Karibuni sana!


PicsArt_01-11-05.17.26.jpg
 
Mkuu me nisaidie tu unakoprintia viroba, kwa kweli vimependeza kwelikweli
 
Mkuu mbona dodoma sembe bado chini kwenye maduka ya jumla ni 22000 kilo 25 sijajua kiwandani wanachukua bei gani ila nahisi 19000
 
Back
Top Bottom