TV4Sale Jipatie Smart TV kwa bei ya kiwandani

Samsung ya inch 65 ni 540k?
 
Karibu mbezi msigani karibu na kuwanda cha mabati pia kariakoo uhuru plaza
Hiyo ya inchi 65 usafiri wake shilingi ngapi? Na hela ya mzigo wanalipwa kabla mzigo haujafika au mpaka mzigo ufike?
 
Wanaagiza ikifika bongo wanachajai
Import fee
Processing fee
Tax
Vat
Tozo
Transport
Mwisho wa siku unaona bora ningenunua hapa hapa bongo
 
Hii ni bei ya kuagiza kutoka china bei ya kiwandani mzigo ukifika unalipia usafiri
Peleka utapeli wako wewe. Unadhani watu wote ni wajinga? Tangu lini kila mtu akaenda kiwandani kununua TV. Yaani uende kiwanda cha LG uuziwe TV? Viwanda vyote vina chain zao za ku-supply na ma-agent wa kununua mzigo kutoka viwandani ni wachache.
 
Wanaagiza ikifika bongo wanachajai
Import fee
Processing fee
Tax
Vat
Tozo
Transport
Mwisho wa siku unaona bora ningenunua hapa hapa bongo
Halafu jamaa anadanganya. Eti bei ya kiwandani. Atawaokota washamba wenzake. Viwanda vikubwa vyote vina chain ya ku-supply mali zake kwa kutumia ma-agent maalumu. Hata viwanda local kama Tanzania Breweries siku hizi huwezi kwenda kiwandani moja kwa moja kununua mzigo. Kuna ma-agent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…