Jick
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 1,327
- 2,041
Nchi hii Iko kasi sana aisee, badala ya kuuliza Bei ya TV tunaulizia bei ya usafiri wa TV 🤣🤣😃.Nahitaji kununua 55" ya TCL gharama za usafiri zikoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hii Iko kasi sana aisee, badala ya kuuliza Bei ya TV tunaulizia bei ya usafiri wa TV 🤣🤣😃.Nahitaji kununua 55" ya TCL gharama za usafiri zikoje
Ni Sansang toka china mzeeSamsung ya inch 65 ni 540k?
Kabisaamatapeli wote sasa hivi wanajifanya wanaagiza kutoka China au wapo wete Pemba, epuka matapeli
KUPITIA SISI KUMILIKI TV NI KITU RAHISI JIPATIE TV KWA BEI YA KIWANDANI KUTOKACHINA KAMA IFUATAVYO
SPECIAL BIG ODA TV SMART
BRAND:SAMSUNG / LG
💫32@160000
💫43@300000
💫50@480000
💫55@500000
💫65@540000
💫75@740000
💫85@1040000
💫100@4000000
Smart TV zote
0713861567
Bei zote bila usafiri
TV zikifika unalipia usafiri maana ni TV za kuagiza.
View attachment 3033981
Kariakoo na mbezi msigani karibu na kiwanda cha mabatiLocation ya ofisi ni wapi???
Hiyo ni bei ya kiwandani kuagiza bossSamsung ya inch 65 ni 540k?
Usipojua jambo haimaanishi alipo kilichopo huna ufahamu wa unachosemaHalafu jamaa anadanganya. Eti bei ya kiwandani. Atawaokota washamba wenzake. Viwanda vikubwa vyote vina chain ya ku-supply mali zake kwa kutumia ma-agent maalumu. Hata viwanda local kama Tanzania Breweries siku hizi huwezi kwenda kiwandani moja kwa moja kununua mzigo. Kuna ma-agent.
Sawa boss huenda ndipo ulipoishia ufahamu wako kuhusu haya mambo but hiyo ndiyo bei yake wew ni wale watu ambao hutumia ubishi kutaka kujuaPeleka utapeli wako wewe. Unadhani watu wote ni wajinga? Tangu lini kila mtu akaenda kiwandani kununua TV. Yaani uende kiwanda cha LG uuziwe TV? Viwanda vyote vina chain zao za ku-supply na ma-agent wa kununua mzigo kutoka viwandani ni wachache.
Kila tv ina gharama yake kutokn na size na uzito mtu kabla ya kuagiza anapewa total bei ambayo ni chini tofaut na ya dukaniWanaagiza ikifika bongo wanachajai
Import fee
Processing fee
Tax
Vat
Tozo
Transport
Mwisho wa siku unaona bora ningenunua hapa hapa bongo
Nchi 43 smart 950000 na 55 1350000Zilizopo dukani KWAKO Hivi sasa Ni Tsh Ngapi, LG/SAMSUNG inch 43/55 respectively..
Hela ya mzigo unalipa ukija kuchukua tv yako utalipia kwa mtu wa cargoHiyo ya inchi 65 usafiri wake shilingi ngapi? Na hela ya mzigo wanalipwa kabla mzigo haujafika au mpaka mzigo ufike?
Bei hiyo bila usafiri ikifika unalipia usafiriInch 32 160000????
Nani kasema sijui. Nimesema kwa uhakika kabisa wewe huna uwezo wa kununua TV kama LG viwandani. Kwanza viwandani hawauzi kazi yao ni kutengeneza tu. Nakuambia kitu nachokijua. Wewe ungesema tu unauza kwa bei rafiki lakini siyo eti bei ya viwandani. Uelewa wako ni mdogo sana na huenda hata nje ya Bongo hujatoka.Usipojua jambo haimaanishi alipo kilichopo huna ufahamu wa unachosema
Mzigo upo au nakuja kulipia nisubirie?Karibu mbezi msigani karibu na kuwanda cha mabati pia kariakoo uhuru plaza
Tv ni za kuagiz china inamaan lazma usubigi bossMzigo upo au nakuja kulipia nisubirie?
Naamini hii TCL ni nzuri kama umeikubali na mimi niitafuteNahitaji kununua 55" ya TCL gharama za usafiri zikoje
Hakuna mahusiano kati ya kutoka nje ya nchi na uelewa pili unapenda kuwa mshindi kuhusu kutoka mimi pemgine nimetoka kuliko wew hiyo mada ni nyingine sasaNani kasema sijui. Nimesema kwa uhakika kabisa wewe huna uwezo wa kununua TV kama LG viwandani. Kwanza viwandani hawauzi kazi yao ni kutengeneza tu. Nakuambia kitu nachokijua. Wewe ungesema tu unauza kwa bei rafiki lakini siyo eti bei ya viwandani. Uelewa wako ni mdogo sana na huenda hata nje ya Bongo hujatoka.