INAUZWA Jipatie spy camera uweze kurekodi

INAUZWA Jipatie spy camera uweze kurekodi

Mafian cartel

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2021
Posts
3,876
Reaction score
7,118
Jipatie spy camera uweze kurekodi
matukio na ukaona kupitia simu yako

Camera ina sifa zifuatazo

Unaweza ukaunganisha camera na wifi ya simu yako ukaona kinachoedelea live kabisa

Au ukaweka memory card ikarekodi matukio halafu baadae ukaangalia kupitia simu yako,laptop au computer

Kama mpenzi wako anachepuka unaweza ukamkamata kirahisi na camera hii

Kama umemuacha mtoto nyumbani na house girl

Unaweza pia ukarekodi vitu vinavyoendelea nyumbani kwako,au ofisini kwako

Camera ni ya kuchaji

Unaweza ukaskia sauti

Camera Ina nights vision

Ina magnet kwa ajili ya kuibandika sehemu

Ni ndogo na unaweza ukaificha kirahisi

Camera inakuja na vitu vifuatavyo

mini camera
charging cable
adjustable support
English manual

Price: 45,000/=

Tunapatikana Tabata Dar es salaam

Tunafanya delivery popote Tanzania

Call/Whatsapp:+255764108259

-1088207165471457085.jpg
 
-10896274471561940806.jpg
 

Attachments

  • -10895953321282914205.jpg
    -10895953321282914205.jpg
    146.1 KB · Views: 11
Unaweza uka connect camera na simu upate matukio live
-1089581334680865647.jpg
 
Toanufafanuzi wa huo ukubwa wa chip unaweza kuhifadhi data za siku ngapi let's say hiyo ya GB 8.Je ni wiki au mwezi??
Data inahifadhiwa kwa ukubwa na sio siku wala mwezi

Hivyo ukiweka memory card ya Gb 8 unaweza ukarecord videos za ukubwa wa Gb 8 bila kujali umetumia muda gani

Lakini Camera zimeisha boss
 
Back
Top Bottom