BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Sababu ya kuuza bei mbaya ni nini
Se
Se
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
QualitySababu ya kuuza bei mbaya ni nini
Se
Acha kabisa,kuna MD mmoja alikuwa amegonga kiatu ya 1.5ml,suti sikujua,saa ya 450k,miwani 500k, nikacheka najisemea kweli laki si pesa,inategemea umeiona wapi.Huyo jamaa hapo juu, unaweza ukakuta kavaa laki 6+
Kiatu 150,000
Kadeti 50,000
Shati 40,000
Socks 12,000
Boxer itakuwa 10,00
Vest 10,000
Na saa 400,000 au 350,00
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiatu Ya 1.5m si mchezo chief [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acha kabisa,kuna MD mmoja alikuwa amegonga kiatu ya 1.5ml,suti sikujua,saa ya 450k,miwani 500k, nikacheka najisemea kweli laki si pesa,inategemea umeiona wapi.
Ipo siku utataka kuona rami nyeupeSiwezi kupata socks transparent
Sent from my I phone
Yaan hata kama miguu ina fangus haitanuka ?Why OZEREN Socks???
Hizi Ni ANTIMICROBIAL Socks, zimetengenezwa na technology ya kisasa ukilinganisha na socks za kawaida.
Zimechanganywa na baadhi ya vitu vya asili, ambavyo huzuia harufu mbaya miguuni pamoja na kuua bacteria.
Utazipata kwetu, BJB Fine Clothing Kwa Fair Price 👏👏👏👏👏👏.
Hakuna Tena Kunuka Miguu 😀😀😤😤😤