Ingependeza ungeweka details zote kamili.
1. Huo mfumo unatakiwa umwambie kabisa mteja(wewe ni reseller na makesure anajua kua wewe ni recognized agent wao).
2. Mpe mtu assurance ya data zao za kibiashara maana itakubidi baadhi ya kampuni wakusainishe NDA.
3. Weka gharama kamili na za uhakika ikiwa katika mfumo wa package.(Kusije kuleta any unnecessary hidden costs huko n.k)
4. Waweke wazi jina la Mfumo, Advantage za kwanini anunue kwako na sio mifumo mingine, Advantage ya kwanini watumie mfumo at first place maana wabongo ndio kwanza tunaamka kiteknolojia wengi hawajui umuhimu wa hivi vitu.
5. Ukiweka kila kitu wazi na maelezo kamili, itaonesha namna gani uko makini na biashara yako (Binafsi nmesense kama kunaweza kua na upigaji, maana nmeupitia mfumo na nimekuta ni OPEN SOURCE GITHUB, pia nikagundua unatoa oppurtunity ya reselling, so ukiweka wazi Hta wateja tunaweza kuwarefer kwako.
Siku hizi watu hatuna muda wa kuja inbox kuuliza bei, unakopatikana n.k maana biashara makini kila kitu wameweka wazi, Kukiwa na bei za kuweka wazi ni kama kuna vitu unabadilisha kulingana na matakwa ya mteja, ndio maana hta pale juu nikashauri bei katika mfumo wa package.
Nakutakia biashara njema, na matangazo mengine utakayokuja kutoa huko mbele yawe very competent mkuu.(Siku hzi watu tuna screenshot na kushare huduma ya mtu hata tusiemjua, tangazo kama hili mtu hawezi kushare kitu).
Imagine I have only 30seconds to scroll on your thread niende kwngne, sasa unataka niulize nisubiri jibu tuanze kuchat tena?