kid ink tz
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 307
- 320
Mitandao yote kasoro VodaMtandao gani?
Vipi Ttcl, kwann voda siyo? Maana wengine hapa ni voda tuMitandao yote kasoro Voda
Nicheki 0625672871 nikupe information
Cha mwaka 100000 Voda hamna mkuuVipi Ttcl, kwann voda siyo? Maana wengine hapa ni voda tu
Ebhu tuweke wazi juu ya bei zake mfano cha mwaka shs ngapi?
Bei gani??Jipatie unlimited data ya mwezi mwaka miezi 3 mwezi mmoja
Km unahitaji huduma hii nitafute WhatsApp' no 0625672871
Internet hii INA speed hadi mb 5 kwa sekunde tumia wew hadi GB 20 kwa siku ni wew tuu nicheki WhatsApp kwa namba ile nikupe huduma
Mkuu usione aibu kutumia neno "kutapeliwa"Nilishaibiwa 20000 nahii namba
Nicheki WhatsApp nikupe VifurushiBei gani??
Mmmh hahahha yap tumebadili mfumoNilishaibiwa 20000 nahii namba
Hatujawahi tapeli mtuMkuu usione aibu kutumia neno "kutapeliwa"
Utakula kwa machoAcha vyuma viendelee kuumana
Kwahiyo ni kweli mlimipiga elfu 20 kabla hamjabadili mfumoMmmh hahahha yap tumebadili mfumo
Jamaa ukiwatumia hela, wanabadili mfumo!Kwahiyo ni kweli mlimipiga elfu 20 kabla hamjabadili mfumo
Huu ndo mpango hizi habari za nipe pesa kwa simu ni majanga wewe kama kweli unaweza tunakutana live tena kama ya mwaka unachukua mpunga nusu kwanza baada ya miezi miwili unamaliziwaSema uko wapi tufanye biashara tukiwa tunaonana uso kwa uso wakati wewe unaunganisha mambo yako mimi nazama kwenye wallet natoa pesa.
Dunia ya leo wa kumuamini ni mama ako tu hata baba anaweza kukuingiza chaka.
Si wote mapoyoyo kama wewe, ukiwapata njoo na kwangu uniibie.Utakula kwa macho
Ka kwambia nani mm mwiziSi wote mapoyoyo kama wewe, ukiwapata njoo na kwangu uniibie.
Ka kwambia nani mm mwizi