Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Akikujibu nitag na mimiMkuu mimi nataka sana hiyo unlimited bando ila nataka kwa kuonana na maliponyafanyike baada ya kazi kufanyika face to face
Unaulizwa maswali ya msingi kabisa unajidai huoni kama sio wizi ni nini??Ka kwambia nani mm mwizi
Hebu tupia iyo namba na tupe info iyo namba ilikuibiajeNilishaibiwa 20000 nahii namba
IringaSema uko wapi tufanye biashara tukiwa tunaonana uso kwa uso wakati wewe unaunganisha mambo yako mimi nazama kwenye wallet natoa pesa.
Dunia ya leo wa kumuamini ni mama ako tu hata baba anaweza kukuingiza chaka.