Jipatie visa ya UAE (Dubai) ndani ya masaa 48 popote ulipo

Noriega Jr

Senior Member
Joined
Apr 12, 2014
Posts
168
Reaction score
59
Wana ukumbi habari zenu,

Natumai muwazima, kama heading hapo juu ilivyo, kwa wale ndugu wanaohitaji visa za UAE au Dubai basi waweza kupata popote pale ulipo,

1,Visa ya siku 14
2, Visa ya siku 30
3, Short term visa

Visa ya siku 14 yenyewe ukiingia ni lazima utoke ndani ya siku 14 huwezi kurenew hii kwa ajili ya wafanya biashara zaidi,

Visa ya siku 30 unaweza kuongeza siku 30 nyingine ukiwa ndani ya nchi,

Visa ya short term ni ya siku 30 tu, hii yenyewe nzuri kwa ajili ya wale walioingia nchini kwa ajili ya kazi au interview, kwa sababu ikiwa utapata kazi unaweza kuibadili ukapata visa ya kazi bila kutoka nje ya nchi, ila ikiisha siku 30 haiwezekani kuongeza lazima utoke,

NB: umri wa muombaji uwe juu ya miaka 24 akiwa chini ya hapo lazima uambatanishe maombi ya visa ya mzazi au mlezi au ndugu ambae utaingia nae nchini
Ikiwa mwanamke pia anaweza kuomba kwa kutumia passport ya mume, mama,mjomba, au ndugu ikiwa hajafika umri wa 24

Visa ya siku 14 ni Tshs, 220,000/=
Visa ya siku 30 ni Tshs, 410,000/=
Short term visa ni Tshs, 510,000/=

Mawasiliano yangu iskhazrahbi@yahoo.com au bunny.msa@gmail.com,
Mobile and whatsaap
+971569880360 au +96896505758
Au ni pm kwa maelezo zaidi
Ndani ya masaa 48 nakutumia visa

Karibuni
 
asante sana kwa hii habari muhimu Noriega Jr, naomba utuwekee credentials zako hapa vitu kama jina lako na kazi yako just for our "my" safeness.
Wengi tunataka kuja huko wengine biashara na wengine just kutalii "kupumzika na hizi mbio za maisha". Natanguliza shukrani.
 
Last edited by a moderator:
ni vizuri kabla ya kwenda kuwasiliana na mtu ambae yupo kule, umuulize kama kuna mpango wa kazi za udereva, ulinzi, hotelini n.k
na kama wana interview ni lini? ili isiwe safari ya mara mbili mbili
kazi ya udereva uwe na international drivers license
ila mazingira kidogo hayaridhishi sana, chumba unaweza mkawa watu nane na ndani ya compound ya wafanyakazi hamruhusiwi kujipikia,unanunua hapo hapo ndio hivyo tena.
angalia sana uliza sana kabla ya kuingia ili upate kufanikiwa vizuri.
 

Mkuu mimi nafanya kazi kampuni ya Aziza Tourist L.L.C iko eneo la Deira mtaa wa al muteena, jina ni Ibrahim Salim khalfan
 
Last edited by a moderator:
Du kazi ipo yaani viza nusu milioni sijui hiyo nauli itakuwaje haya na tuwapishe wenye ubavu na sisi iko siku tuwombe uhai tu
 

Ikiwezekana tupe utaratibu wa kupata viza ya oman
 
Ikiwezekana tupe utaratibu wa kupata viza ya oman
mtuwako Oman hawana utaratibu kama wa emirate wao lazima uombewe na mtu ambae ana uraia wa Oman anakuwa kama dhamana yako,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi nafanya kazi kampuni ya Aziza Tourist L.L.C iko eneo la Deira mtaa wa al muteena, jina ni Ibrahim Salim khalfan

safi kaka, kazi nzuri
me nimekaa sana Deira maeneo ya Naif
Gold Souq pale Gold plaza hotel ndo kilikua kijiwe

Next time ntakucheki nikija huko
 
safi kaka, kazi nzuri
me nimekaa sana Deira maeneo ya Naif
Gold Souq pale Gold plaza hotel ndo kilikua kijiwe

Next time ntakucheki nikija huko

Karibu sana kaka,hiyo ndio mitaa yangu
 
Du kazi ipo yaani viza nusu milioni sijui hiyo nauli itakuwaje haya na tuwapishe wenye ubavu na sisi iko siku tuwombe uhai tu
makabuzi sio wote wanaoishi nchi zilizoendelea wa akili sana au wajanja sana laa,imetokea tu na ndio dunia ilivyo, usikate tamaa kama bado uko hai,
 
Last edited by a moderator:
Noriega Jr big up kwako. Watanzania tunaanza kufunguka sasa.
Zamani watz hatukuwa tukipeana michongo kama hii. Kila lenye heri likufikie.

Ushauri mdogo tu, angalia cost zako kuhusu visa ili bei yako isipishane sana na wanayotoza ma dalali wetu huku bongo.
 
RealMan ahsante kwa ushauri wako nitaufanyia kazi ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Name UOTE=Noriega Jr;10933984]Wana ukumbi habari zenu,

Natumai muwazima, kama heading hapo juu ilivyo, kwa wale ndugu wanaohitaji visa za UAE au Dubai basi waweza kupata popote pale ulipo,

1,Visa ya siku 14
2, Visa ya siku 30
3, Short term visa

Visa ya siku 14 yenyewe ukiingia ni lazima utoke ndani ya siku 14 huwezi kurenew hii kwa ajili ya wafanya biashara zaidi,

Visa ya siku 30 unaweza kuongeza siku 30 nyingine ukiwa ndani ya nchi,

Visa ya short term ni ya siku 30 tu, hii yenyewe nzuri kwa ajili ya wale walioingia nchini kwa ajili ya kazi au interview, kwa sababu ikiwa utapata kazi unaweza kuibadili ukapata visa ya kazi bila kutoka nje ya nchi, ila ikiisha siku 30 haiwezekani kuongeza lazima utoke,

NB: umri wa muombaji uwe juu ya miaka 24 akiwa chini ya hapo lazima uambatanishe maombi ya visa ya mzazi au mlezi au ndugu ambae utaingia nae nchini
Ikiwa mwanamke pia anaweza kuomba kwa kutumia passport ya mume, mama,mjomba, au ndugu ikiwa hajafika umri wa 24

Visa ya siku 14 ni Tshs, 220,000/=
Visa ya siku 30 ni Tshs, 410,000/=
Short term visa ni Tshs, 510,000/=

Mawasiliano yangu iskhazrahbi@yahoo.com au bunny.msa@gmail.com,
Mobile and whatsaap
+971569880360 au +96896505758
Au ni pm kwa maelezo zaidi
Ndani ya masaa 48 nakutumia visa

Karibuni[/QUOTE]
Visa INA bei ya rtn TKT Harare dar harare so mchezo

Na
 
RealMan ahsante kwa ushauri wako nitaufanyia kazi ndugu yangu

Hotel ya kawaida rate zikoje? Au mnaweza kuarange safari ya mtu kwa matembezi ya one week?

Mfano mtowe msaada wa mchanganuo wa matumizi ya wiki ila hotel atalipa mwenyewe.

Labda ili unielewe Bongo nimefanyakazi ya tours ila kampuni yetu ndio inatoa qoutation kwa mzungu kabla hajaja tukimchukuwa airport ukimwacha hotel huko anajiju mwenyewe mpaka ahitaji gari anapiga simu ofisini mnafuata mnafanya city tour na ratiba nzima ya route alizopanga, hata mkimkodia ndege ndogo charter deni linaingizwa kwenye account yake.
 
Last edited by a moderator:

Hotel za kawaida zinafika kiasi Dirham 200 kwenda juu Dirham 1 kwa sasa inafika kiasi cha Tshs 461
 
Haya ndugu bado nipo kwa ajili yenu Karibuni,
 
Haya ndugu bado nipo kwa ajili yenu Karibuni,

Asante kwa taarifa.but mm Nina swali kuhusu nchi za ulaya hivi nazo inawezekana ile visa ya miezi mitatu ukishafika Kule ukapata kazi na kubadili hiyo visa ukapata ya kazi Vila kutoka nje? Msaada plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…