Jipatie visa ya UAE (Dubai) ndani ya masaa 48 popote ulipo

Jipatie visa ya UAE (Dubai) ndani ya masaa 48 popote ulipo

Asante kwa taarifa.but mm Nina swali kuhusu nchi za ulaya hivi nazo inawezekana ile visa ya miezi mitatu ukishafika Kule ukapata kazi na kubadili hiyo visa ukapata ya kazi Vila kutoka nje? Msaada plz
majuba JF imefika kila pembe ya dunia naamini wapo wanaojua jambo hilo vuta subra tutapata majibu, mimi sina uzoefu na hilo
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa taarifa.but mm Nina swali kuhusu nchi za ulaya hivi nazo inawezekana ile visa ya miezi mitatu ukishafika Kule ukapata kazi na kubadili hiyo visa ukapata ya kazi Vila kutoka nje? Msaada plz

Nchi gani?
 
German unaaply sheghen viza kwenye German Embassy 3 month tourist viza ukiingia kule ikiisha jamaa wagumu sana sijui kwa sasa.

Kama una mwenyeji wako kule ni vyema yeye ndio akupe muongozo maana hata viza ni yeye ndio atakutengenezea mualiko ambao una mihuri ya kule hapa Bongo viza wanakupa hawakusumbui. Kwa kifupi hata kama ni kujilipuwa yeye ndio atakwambia panafaa au hapafai ulaya kumebadilika sana siku hizi sheria za uhamiaji.
 
Hahaaa nimecheka sana ulivyosema kujipua!Asante kwa muongozo mpendwa nitakupa feedback nikishapata visa.
 
Kwani wanaojilipuwa hawaendi kihalali? Tatizo ukishafika kule kupata makaratasi EU wako strictly sana.
Sasa kama ndio ngumu hi yo Mimi itakuaje jamani maisha ya bongo yamenichosha sana kazi hakuna MTU umesoma kwa tabu kazi hazipatikani!hebu nipeni njia nyingine kama mnajua Mimi nataka walau kibali cha kukaa kule miaka miwili tu. Na kujilipua inakuaje nijuzeni
 
Naona watu bado wana fikra za kuja ulaya wakati wengine tuna fikra za kurudi bongo.

Ndugu zangu huku sio kama zamani maisha yamekuwa tough sanaaa na huku tofauti na bongo utafungua biashara utafanya na njiani utapanga karanga utauzaaa ila hayo mambo huku hamna kabisaaa....

Mawazo yangu for now ni kuwekeza bongo thats all ila huku utaishi maisha yote huwezi kuwa tajiri
 
Back
Top Bottom