Noriega Jr
Senior Member
- Apr 12, 2014
- 168
- 59
- Thread starter
-
- #21
majuba JF imefika kila pembe ya dunia naamini wapo wanaojua jambo hilo vuta subra tutapata majibu, mimi sina uzoefu na hiloAsante kwa taarifa.but mm Nina swali kuhusu nchi za ulaya hivi nazo inawezekana ile visa ya miezi mitatu ukishafika Kule ukapata kazi na kubadili hiyo visa ukapata ya kazi Vila kutoka nje? Msaada plz
Asante kwa taarifa.but mm Nina swali kuhusu nchi za ulaya hivi nazo inawezekana ile visa ya miezi mitatu ukishafika Kule ukapata kazi na kubadili hiyo visa ukapata ya kazi Vila kutoka nje? Msaada plz
Nchi gani?
German
German unaaply sheghen viza kwenye German Embassy 3 month tourist viza ukiingia kule ikiisha jamaa wagumu sana sijui kwa sasa.
Kama una mwenyeji wako kule ni vyema yeye ndio akupe muongozo maana hata viza ni yeye ndio atakutengenezea mualiko ambao una mihuri ya kule hapa Bongo viza wanakupa hawakusumbui. Kwa kifupi hata kama ni kujilipuwa yeye ndio atakwambia panafaa au hapafai ulaya kumebadilika sana siku hizi sheria za uhamiaji.
Hahaaa nimecheka sana ulivyosema kujipua!Asante kwa muongozo mpendwa nitakupa feedback nikishapata visa.
Wala usijilipue fanya mipango uende kwa njia halali tu
Sasa kama ndio ngumu hi yo Mimi itakuaje jamani maisha ya bongo yamenichosha sana kazi hakuna MTU umesoma kwa tabu kazi hazipatikani!hebu nipeni njia nyingine kama mnajua Mimi nataka walau kibali cha kukaa kule miaka miwili tu. Na kujilipua inakuaje nijuzeniKwani wanaojilipuwa hawaendi kihalali? Tatizo ukishafika kule kupata makaratasi EU wako strictly sana.
Ndani ya masaa 48 nakutumia visa
Karibuni