Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Sikuzote kumbuka
- Jipende wewe
- Watoto
- Mke
It should always be in this order
Watoto wako wanaweza kukua bila kuthamini sacrifices you made for them kwa sababu mama yao aliongea uongo dhidi yako. Ukiacha hilo mitoto ya siku hizi mingine haijali na wala hawana shukrani kwa wazazi wao hasa baba.
Watoto wako watasahau kwa urahisi kwamba wako na afya njema na wamesoma because of the food you put on their table and your sleepless days and nights hustle tangu wakati wakiwa wadogo.
Mke anaweza kukucheat bila kujali jinsi ambavyo umemhangaikia na kumtunza na ukifulia anaweza akakukimbia ukabaki unapambana peke yako.
Ndio maana kila wakati unapaswa kumpa kipaumbele mtu mmoja ambaye unajua hatawahi kukukatisha tamaa, ambaye ni wewe.
Serikali na jamii itamwokoa na kumsaidia mkeo na watoto kabla ya kukuokoa. Wewe utaachwa upambane na hali yako. Hii ni sababu nyingine unapaswa kujitanguliza kila wakati.
Prioritize yourself, and you'll become a better man for yourself, children, and your wife.