Jipime IQ yako kwa picha hii

Jipime IQ yako kwa picha hii

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kama IQ yako hipo sawa naomba ujipime kwa chambua vitu vilivyo fichwa kwenye picha. [emoji116][emoji116]

IMG_1323.jpg
 
Tuko kwenye maombolezo sisi[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Japokuwa swali hujaweka vizuri ila majibu nmeyaona
Kuna pweza kichwani kwa huyo anayesoma kitabu
Note: nitarudi.
 
kama IQ yako hipo sawa naomba ujipime kwa chambua vitu vilivyo fichwa kwenye picha. [emoji116][emoji116]View attachment 1974235
Hivyo vitatu vya juu(nyangumi, cha pili sijui huwa kinaitwaje, na pweza) vipo ndani ya maji(bahari).
Vili vya chini(tikitimaji na ice cream) vipo tumboni mwa hao watu (vimeisha liwa na hao watu hapo).

Kunatofauti kati ya kipimo cha IQ na kipimo cha uwezo wa macho kuona.
 
1. Nyuchi zao wamezificha meaning K's, Tigo's and dushelele's
2.Boobs za wanawake zimefichwa.
3. Kwenye huo mpira ndani kuna hewa imejazwa imefichwa pia.
4.Kuna wasichana wawili wamevaa sun glasses nao wameficha macho Yao
.
.
. Easy kama ndizi
 
Ice cream kwenye kichwa Cha uyo bazazi anaepiga picha [emoji1]
 
Back
Top Bottom