Jipime na maswali kuona Uwezo wako wa Akili

digodigo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
311
Reaction score
254
Baada ya maelezo nitakayotoa nitaomba ujibu maswali 13 tu kwa akili yako ili uone una nafasi gani katika suala zima la intellectual capability hii ni kwa faida yako binafsi na majibu nitatoa na sababu ikiwezekana.

Kumekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu suala zima la IQ tests na huu mjadala tusitegemee kupata ufumbuzi mapema au hivi karibuni. Kwani baadhi ya watafiti wamehoji njia zilizotumika kuwa ni questionable na matokeo ni untrustworthy.
Lakini vyovyote iwavyo IQ inaweza kuwa affected na factors zifuatazo:
  1. Aina ya vyakula tunavyokula (Nutrition)
  2. Afya uliyonayo (Health condition)
  3. Elimu uliyonayo/itolewayo (Access to education)
  4. Utamaduni na mazingira unayoishi (Culture and environment)​
Bila kujali kiwango chako cha IQ bado uwezo huu hauwezi kutafsiri maisha yako kwa ujumla kwani unaweza kuwa na IQ kubwa na mafanikio kimaisha yakawa madogo au IQ ndogo na ukafanya vizuri katika maisha.

Kuna njia nyingi za kupata mafanikio katika maisha lakini mafanikio yote hayatafsiriwi kwa jibu moja. Maisha ni very complicated yanayohusisha vigezo vingi (many variables)

Mfano: Uzoefu katika maisha, Utukutu katika kubuni vitu, tabia, nafasi au opportunity, nia, matarajio vyote hivi vina matter.

Ubongo wa binadamu ni very complex kwa kuwa ni vigumu mno kung'amua ni jinsi gani vitu kama intelligence, uwezo wa kujifunza na maarifa vinaingiliana. kwani unaweza kuwa na IQ kubwa lakini ukakosa elimu na maarifa kwa ujumla au unaweza kuwa na phd au degree za kutosha lakini IQ ndogo.

Upimaji wa IQ uliopo huangazia uwezo wako wa ku reason, kujenga ideas,kutatua matatizo n.k. na kwa mtazamo huu inawezekana ni kutokana na kurithi na potential uliyonayo.

Kwa utafiti uliofanyika 2011 unaweza kuingia (http://www.nature.com/articles/nature 10514) ilibainika kuwa uwezo wa akili (intellectual capacity) unaweza kuongezeka au kupungua katika kipindi cha miaka kuanzia 13-19 .

Kuna ushahidi kuwa unaweza kuongeza kiwango fulani cha IQ kwa kuzingatia mambo nitakayotaja na ni lazima uwe na maono, kumbukumbu na ujuzi mwingine.

1. Endelea kutafuta maarifa katika kipindi chote cha maisha yako na hili litahusisha utundu katika kufahamu vitu (curiosity) watu wengi ni wavivu katika hili wao brain zao ziko dormant yaani wameridhika na elimu walioipata na hawataki kuongeza zaidi ni lazima uwe receptive to new information na hii itaongeza uwezo wako katika ku -concentrate, remember details, emphathize, grasp new concepts, enrich your imagination, research, add to your knowledge base.

2. Kusoma vitabu Fiction na Non Fiction is one way to boost your abilities faida zake ni:
Kuimarisha bongo lako, kujenga uelewa, Build vocabulary, Kuzuia kupunguza utambuzi (prevent cognitive decline) Reduce stress, Aid sleep, alleviate depression, lengthen life span na mambo mengine mengi.

3. Michezo kama puzzles, drafts, playing music, group discussion(mijadala ya mabishano kwa hoja vinaweza kusaidia.

HITIMISHO
High IQ score inasaidia kutatua changamoto zinazokukabili endapo utajikuta katika mazingira hayo mfano katika ndoa yako wengi ndoa zinavunjika kwa kukosa maarifa ya utatuzi wa migogoro. Katika biashara, Uongozi kwa nafasi uliyonayo aidha kisiasa au kijamii, mahala pa kazi na mashuleni.

Mbali na hayo yote IQ ina evaluate mental disabilities aliyonayo mtu. Hadi sasa hakuna uthibitisho kuwa race, au genetic traits zina determine high IQ findings bado zinaendelea.

Karibu na ujaribu kujibu maswali 13 yafuatayo lengo sio vinginevyo bali ni kujitathmini mwenyewe.

1. Two fathers and two sons go fishing each man catches a fish but only come home with three and none were thrown back or eaten how was this possible?

2. Before Mount Everest was discovered which was the tallest on earth
a) Mt Fuji
b) Mt Kilimanjaro
c) Mt Everest
d) Mt K2

3. How many animals of each gender did Noah bring on the ark?
a) Many
b) 2
c) 3
d) 1

4. In my man made tank are 12 fish and all but 9 die how many live fish are left in the tank?
a) 9
b) 3
c) 12
d) 4

5. You are in a race and you manage to pass the second place person what place are you in?
a) 2nd
b) you won
c) 1st
d)3rd

6. A woman who loves yellow had a one story yellow house, yellow clothes, yellow wig and yellow covered furniture. What color her stairs?
a) Black
b) Pink
c) Yellow
d) None of the above

7. Who is bigger; Mr Bigger, Mrs Bigger, Aunt Bigger or their baby?

8. There are 14 fish and half of them are drown how many fish are there?
a) 7
b) 14
c) 2
d) None

8. How many times can you subtract 20 from 100
a) 5 times
b)4 times
c) Never
d) once

9. Sam's parents have five kids four are named Bob, Billy, Ben and Barb what is the fifth child's name
a) Bud
b)Bridget
c) Bella
d) None of the above

10. We know some months have 30 days and others 31 how many have 28
a) 4
b) 1
c) 12
d) 2

11. How many annual birth days does the average woman have?
a) 70
b) 68
c) 1
d) 82

12. Is it legal for a man to marry his widow's sister?
a) in some places
b) No
c) Yes
d) It would be difficult

13. In your whole life have you ever encountered something full of holes but still can hold liquid?
which is it
 
We ni bonge la utolopo! umeanza vizuri, umeharibu mwishoni! nahii inaonyesha IQ yako ndogo! akili yako imekaa kitumwa! umeshindwa nn kuuliza hayo maswali kwa lugha yako ya kiswahili!!??
 
We ni bonge la utolopo! umeanza vizuri, umeharibu mwishoni! nahii inaonyesha IQ yako ndogo! akili yako imekaa kitumwa! umeshindwa nn kuuliza hayo maswali kwa lugha yako ya kiswahili!!??
Truly this is an indication of the content of your brain although i can not immediately conclude by generalizing lakini itoshe kusema it is either of the following
1. Hukwenda shule
2. Kama ulienda i regret your parents wasted their money
3. English phobia
4. This tells why your country is not in the list na usibishe
5. Kama Lugha ni utumwa why included in the curricula shame in you
 
Kwani kipimo cha high iq nikujua kingereza?
 
01)There are only three men.Grand father, Father and Grand child. Therefore in this sequence,we automatically get two fathers (Grand father&Father) and two sons(Father&Grand child).
Conclusion:Each of them got one fish.

02)c
03)a
04)c
05)d
06)d
07)Mr Bigger
08 (i)14
08(ii)b
09)d
10)1
11)c
12)c
13)My body(animal's body)
 
Nimeshafanya hapo juu.Nipe jibu.

NB:Ila kiingereza chako ni kibovu sana.Jirekebishe.
 
You are wrong on the following questions No. 3,4,5,7,8,10,12 and 13 The overall performance is 5 out of 13 any way good attempt i'll provide the answers.
 
You are wrong on the following questions No. 3,4,5,7,8,10,12 and 13 The overall performance is 5 out of 13 any way good attempt i'll provide the answers.
Duuh,basi mimi ni bonge la kilaza.Nasubiri hayo majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…