Jipongeze kuzaliwa mwanaume

Unajua kukojoa huku umesimama ni raha sana.? Duuh kama ningezaliwa demu saizi ningekua nawaza hubby akirudi kwa jobu anigegede.?! Teh teh teh wanawake wana baraaa,mala sijui hedhi,fangasi ktk papuchi,kupigwa mtungo... shda tupu... M.b.o.o.o uyeeeee
kweli ni balaa
 
zaliwa mwanaume uwe penda totoz kama mimi!!

sometimes ukifumaniwa ni ajali kazini!!
 
Hao wazazi wanafata nini huku...?
Huwezi kukanusha tusi hili eti kisa hawafiki huku. Kwasababu umegeneralize wanawake wote katika uzi wako wa kipuuzi, maana yake umewajumuisha mama yako, dada zako, shangazi zako, nyanya zako na viumbe wote wa kike katika ukoo wenu. Hayo sio matusi kwao? Hayo uliyoyainisha kama adha za mwanamke, baadhi yao mama yako alikuwa anayafanya kwa ajili yako na malezi yako. Sasa hizo adha ndo zimekukuza umekuwa mkubwa unamtukana. Je sio mwanamke aliyekuwa anakutawadha ulivyo kuwa kitoto? si ulikuwa unalishwa na mwanamke ulivyokuwa mchanga? nguo zako alikuwa anafua baba yako ulivyokuwa mtoto? Wewe umeshapewa radhi....kampigie goti Mungu wako muombe msamaha. Laana itakuafata wewe.
 

Du kaaz kweli kweli..mkiwa na stress zenu msije huku
 
Mimi nikiwaza namna lile dume na midevu yake linavyohema pale juu na kusukuma utafikiri linazibua mfereji...daah!. Nachoka kweeli....!. Ndo mana nikiambiwa nichague kufa au kubadilishwa kuwa mwanamke bora nife tu. Au vp jamani?
 
I don't see any logic here,go and think widely
 
thehunk kwani kuna tusi hapa mkuu ........... duh samahani kama nimekukwaza aisee sikujua kama ingekuwa hivi....
 
Lakin kubwa kuliko yote ambalo wanawake wanakabili ni "ukatili wa kijinsia" mpaka wanaundiwa "madawati" na "NGO's"
 
Baba,tazama viumbe wako kwa kuwa hawajui walitendalo.
 
Uanaume raha sana jamani. Asante mungu kwa kuniumba mwanaume, Kwa jinsi nilivyo nadhani ningekuwa demu saa hizi ningekuwa nshazalishwa nje ya ndoa nimebaki nawaza atanioa nani.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…