Jipongeze kuzaliwa mwanaume

Jipongeze kuzaliwa mwanaume

lol!!!! Chapa ni CPA(T) 🙂🙂 Watu walishafanya modification na kuchomeka 2 letters ambazo hazipo.

hhhhaaa! hivyo! nasubiria majibu bana. sijui kitaeleweka. lol. tukumbukane kwenye maombi maana hapana chezeiyaa chapa. teheeee.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
​Wala usikonde utakumbukwa kwenye maombi kila siku.

hhhhaaa! hivyo! nasubiria majibu bana. sijui kitaeleweka. lol. tukumbukane kwenye maombi maana hapana chezeiyaa chapa. teheeee.
 
Kosa kuzaliwa mwanaume ingekewa saivi unahangaika magengeni na kikapu ukitafuta mapochopocho ya kumpikia mzee jioni au uko jikoni na kanga moja ukimuandalia mzee
Hapo umenena kabsaa, kujipongeza muhimu
Sema naona uzi umevamiwa na wamama wanaona wivu[emoji5][emoji5][emoji5]
 
Back
Top Bottom