BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
kwahiyo maji yatakuwa yanatuama tu kwenye dari kama bati linavujaWadau leo nimeambiwa na mtu kuwa eti kuna jipsum board zenye karatasi ya nylon kwa juu ili kusaidia km bati linavuja basi maji yasiingie ndani ya jipsum board na kuharibika. Binafsi hii material sikutishi kuona, jeo ni kweli kuna jipsum board za aina hiyo. Km zipo bei zake zikoje. Mwenye kijua atujuze hili au ni maneno tu ya vijiweni.
Yeye siyo fundi anasema alizionaMaswali hayo ungemuuliza huyo aliyekwambia ingekuwa mwanzo mzuri
Bado unapo pakuanzia ,, usiendekeze hearsayYeye siyo fundi anasema aliziona
Maji huwa hayazuiliki ndg, ni ya kuyatengenezea njia tuWadau leo nimeambiwa na mtu kuwa eti kuna jipsum board zenye karatasi ya nylon kwa juu ili kusaidia km bati linavuja basi maji yasiingie ndani ya jipsum board na kuharibika. Binafsi hii material sikutishi kuona, jeo ni kweli kuna jipsum board za aina hiyo. Km zipo bei zake zikoje. Mwenye kijua atujuze hili au ni maneno tu ya vijiweni.
HIYO NI SULUHISHO LA MDA MFUPI , ZIBA AU LEKEBISHA PAA LENGO LA PAA NI KUZUIA MVUA NA JUA NDANI YA NYUMBAWadau leo nimeambiwa na mtu kuwa eti kuna jipsum board zenye karatasi ya nylon kwa juu ili kusaidia km bati linavuja basi maji yasiingie ndani ya jipsum board na kuharibika. Binafsi hii material sikutishi kuona, jeo ni kweli kuna jipsum board za aina hiyo. Km zipo bei zake zikoje. Mwenye kijua atujuze hili au ni maneno tu ya vijiweni.