BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Wadau leo nimeambiwa na mtu kuwa eti kuna jipsum board zenye karatasi ya nylon kwa juu ili kusaidia km bati linavuja basi maji yasiingie ndani ya jipsum board na kuharibika. Binafsi hii material sikutishi kuona, jeo ni kweli kuna jipsum board za aina hiyo. Km zipo bei zake zikoje. Mwenye kijua atujuze hili au ni maneno tu ya vijiweni.