Jipu kwenye labia minora

Jipu kwenye labia minora

Swali,unaenda hospital gani ? Kama vip nenda either Agha Khan au Mhimbili usiende hizi hospital ndogo maana watakachofanya watatibu hilo jipu lakini hawatajua root-cause. Hebu nenda hospital ambayo ni more advanced uone. Mi si dkt plz
 
Nilikuwa namsikiliza dokta flani kwenye redio jana akawa anasema dalili za gonorrhea kwa wanawake ni pamoja na kupata majipu kwenye eneo hilo
 
Sijakuelewa
Labia minora ni mashavu ya uchi wa mwanamke. Sasa inapotokea kukawa na jipu kwenye shavu la ukenini, sidhani kama tendo la ndoa linaweza kuwepo. Mwenye bandiko lake anaposema amekuwa akisumbuliwa na jipo kwenye Labia Minora ina maana yeye ndiye anayefanywa tendo la ndoa.
 
Habari zenu wana jamvi.....Nimekua nikisumbuliwa na jipu kwenye Right Labia Minora ...Nimetumia Antibiotics lakini baada ya kupona nakaa muda Fulani linarudi tena mahali hapo hapo...Mara nyingi nakwenda kupasuliwa hospitalini lakini linarudi tena ......Msaada Wenu Tafadhali

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia Ceftriaxone, ni sindano ya antibiotic inayochomwa kwenye mishipa ya damu (mkononi) utachomwa sindano moja kwa siku kwa muda wa siku tano hilo tatizo lako litakwisha kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labia minora ni mashavu ya uchi wa mwanamke. Sasa inapotokea kukawa na jipu kwenye shavu la ukenini, sidhani kama tendo la ndoa linaweza kuwepo. Mwenye bandiko lake anaposema amekuwa akisumbuliwa na jipo kwenye Labia Minora ina maana yeye ndiye anayefanywa tendo la ndoa.
Najua hilo lakin pia mimi nnavyofahamu mwanaume na mwanamke wote wanashiriki kile kitendo. Sasa ukisema mwanamke anafanywa unakuwa unamaanisha mwanamke yeye anakuwa yupo yupo tu ila mwanaume ndo anashughurika kitu ambacho sometimes haiwi hivyo. Kwa hiyo wote mwanaume na mwanamke wote wanafanya
 
Mhh, siku hizi kiswahili kigumu sana Kwa hiyo wanafanyana
 
Swali,unaenda hospital gani ? Kama vip nenda either Agha Khan au Mhimbili usiende hizi hospital ndogo maana watakachofanya watatibu hilo jipu lakini hawatajua root-cause. Hebu nenda hospital ambayo ni more advanced uone. Mi si dkt plz
Nipo Dodoma sijajua kwa huku hospital gani ni nzuri......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom