Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Hahahahahaha...pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha...pole sana
Yaaaan cyo kijipu ni mjipu mkubwa wa maana .....cwez hata kutembeaMhh...sio kijipu kinachosababishwa na in growth? Labda Ni jinsi unavyoshave nywele.ila mahali hapohapo.Sjui kwakweli.
Polee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh kwahyo mzee Nina Gono hahahahaNilikuwa namsikiliza dokta flani kwenye redio jana akawa anasema dalili za gonorrhea kwa wanawake ni pamoja na kupata majipu kwenye eneo hilo
Asante sana nitafuata ushauri wakoTumia Ceftriaxone, ni sindano ya antibiotic inayochomwa kwenye mishipa ya damu (mkononi) utachomwa sindano moja kwa siku kwa muda wa siku tano hilo tatizo lako litakwisha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maoni yangu though. Sina uhakika sanaMhh, siku hizi kiswahili kigumu sana Kwa hiyo wanafanyana
upime na ngoma .pole sana .nutumie picha pls
Duh, limekaa pazuri sana. Hebu weka picha tukuonyeshe jinsi ya kulitumbua vizuri bila hata ya kupiga kelele.
Hapana kwa kweliPole mkuu. Likipona hapo utakuwa na migundi ya kutosha kujaza kidumu cha lita 5!
Asante SanaHahahahahaha...pole sana
Huwezi kutembea unafanya vp shughuli zako?!Asante Sana
Shavu la kisimi kuliaHahahah ni sehemu gani kwani? Wengine la7 humu mkuu
Akutumie picha kwani wewe ni doctor?[emoji41][emoji41][emoji41]upime na ngoma .pole sana .nutumie picha pls
Inafanyika vzr kwenye hospital zipi maana mmh?Bartholins abscess soma kwenye mtandao kama linakusu Kwa maelezo yako matibabu ni minor surgery marsupialization
Dr
Ni kulala tuHuwezi kutembea unafanya vp shughuli zako?!