El khelafi
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 211
- 493
Ni kwa ndani au njeNimekua na watu kadhaa ambao walikua wakiuliza kuhusu kutokwa na majipu matakoni na hata mimi hili tatz limenipata ninahitaji ufafanuzi wenu wakuu suluhu ni nini maan ki ukweli had I kukaa ni shida tunaomba mchango wenu
Changia kistaarabu
Pole sana Mkuu. Hayo majipu yapo makalioni au karibu na eneo la haja kubwa? Imekuwa ya kujirudia rudia?Nimekuwa na watu kadhaa ambao walikua wakiuliza kuhusu kutokwa na majipu kwenye makalio na hata mimi hili tatizo limenipata.
Ninahitaji ufafanuzi wenu wakuu, suluhu ni nini? Maan ki ukweli hadi kukaa ni shida, tunaomba mchango wenu.
Changia kistaarabu.
experience ninayo kubwa maana nishatumbua wati baadhi majipu.Jipu kwenye kalio Gily unaexpirience na hili swala?
Maana kwa ushauri uliotoa inaonekana umeenda hospital mara zaidi ya 3 kwa tatizo hili
😂😂😂😂😂😂experience ninayo kubwa maana nishatumbua wati baadhi majipu.
hata wewe una experience kuhusu IT ila haimanishi ushawah fungua app yeyote🙃
Hiyo ni bawasiri imefumukia pembeni badala ya kwenye tundu la haja kubwaNa pia lipo karibu kabis na haja kubw
Lipo sehemu gani sasa??Lipo kwa nje, linatesa sana hasa wakati wa kulala ila mkuu uliesema ni bawasiri umenitisha
Ushindwe na ulegee mkuu, ila namshkur MUNGU nmepona nlienda hospital inshaalahHiyo ni bawasiri imefumukia pembeni badala ya kwenye tundu la haja kubwa
haha usigope hilo ni swali la kawaida sana..Bawasiri sio kitu kizuri hata kidogo. .Lipo kwa nje, linatesa sana hasa wakati wa kulala ila mkuu uliesema ni bawasiri umenitisha
Utaniponza mkuu😂😂haha usigope hilo ni swali la kawaida sana..Bawasiri sio kitu kizuri hata kidogo. .
Kemea katika jina la Yesu. Jitahidi usikose mboga za majani na kula matumda yenye nyuzi nyuzi kama maembeUtaniponza mkuu😂😂