Jipu kwenye makalio nini suluhisho?

Jipu kwenye makalio nini suluhisho?

El khelafi

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2023
Posts
211
Reaction score
493
Nimekuwa na watu kadhaa ambao walikua wakiuliza kuhusu kutokwa na majipu kwenye makalio na hata mimi hili tatizo limenipata.

Ninahitaji ufafanuzi wenu wakuu, suluhu ni nini? Maan ki ukweli hadi kukaa ni shida, tunaomba mchango wenu.

Changia kistaarabu.
 
Nimekua na watu kadhaa ambao walikua wakiuliza kuhusu kutokwa na majipu matakoni na hata mimi hili tatz limenipata ninahitaji ufafanuzi wenu wakuu suluhu ni nini maan ki ukweli had I kukaa ni shida tunaomba mchango wenu

Changia kistaarabu
Ni kwa ndani au nje
 
Hilo jipu linatokea kwenye makalio sehemu ipi?

Je, ni karibu na sehemu ya haja kubwa? kama ndiyo kacheki au akapimwe bawasiri.

Kama nje ya sehemu ya haja kubwa kwenye makalio basi atumbue na siku nyingine akiwa anaenda kujisaidia achunge yale maji yasiwe yanamrukia.
 
Nimekuwa na watu kadhaa ambao walikua wakiuliza kuhusu kutokwa na majipu kwenye makalio na hata mimi hili tatizo limenipata.

Ninahitaji ufafanuzi wenu wakuu, suluhu ni nini? Maan ki ukweli hadi kukaa ni shida, tunaomba mchango wenu.

Changia kistaarabu.
Pole sana Mkuu. Hayo majipu yapo makalioni au karibu na eneo la haja kubwa? Imekuwa ya kujirudia rudia?

Hayo ni maambukizi ya bakteria kwenye ngozi. Kama limeshapata mdomo, likamue litoe usaha wote. Pata antibiotics kwenye duka la dawa karibu nawe, haswa doxycycline, minocycline, Bactrim,
cephalexin

Ukishapasua, chukua maji uvuguvugu tia chumvi kiasi koroga kisha uchutumepo. Ile chumvi itakuchoma choma ila ni dawa nzuri sana. Unaweza kutokuweka pia, ila maji ya uvuguvugu uyakalie. Itapunguza maumivu na uvimbe.

Ugua pole.
 
Naskur mkuu nilienda hospital japo nilkua na aibu kidogo Ila walisema nisione aibu ni jambo LA kawaida kabisa hapo ndio angalau nikahema
 
Back
Top Bottom