KERO Jirani anatupigia kelele na ufundi wake wa makontena Mbezi Salasala

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero yangu ni jirani yangu kufanya eneo lake kuwa kiwanda cha kutengeneza nyumba za makontena ambazo zimekuwa kero kubwa sana kwa wakazi wa eneo letu na tumesha jaribu kuwasiliana na uongozi wa mtaa wetu lakini hakuna wanacho tusaidia zaidi ya kupiga danadana.

Tunapata kero ya makelele wakati wanapo yagonga gonga na nyundo huleta msukumo mkubwa ambao unapelekea nyumba zetu zinapata ufa harufu ya rangi na vimelea vya mabati wakati wanazikatakata ili kuondoa kwenye mfumo wa kontena na kuuleta kwenye mfumo wa nyumba.

Eneo hili linapatikana Dar es Salaam, Mbezi Salasala Plot Namba sijui ila ni opposite na Kona ya Mbowe.
photo_2026-04-13_13-00-22.jpg

photo_2026-04-13_13-00-16.jpg
 
Mkuu hama, usikae Industrial Area.
 
Back
Top Bottom