Jirani kanikwaza sana kajenga fensi

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake.

Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika.

Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri kainua ukuta mrefu kama ule wa yeriko.[emoji57] sasa hatuonani tena hata wiki inaweza ikakata.

Haya sio maisha yetu waafrika maisha ya kitumwa kabisa haya.
 
Tafuta pesa, acha wivu na makasiriko yasiyokuwa na sababu za msingi.
Maisha ya kienyeji kama hayo unayopenda yamepitwa na wakati
 
Amekuwekea fensi kwa sababu ameona hauna jambo la maana la kuongea. Naunga mkono maamuzi yake✊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…