Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
- #41
[emoji2962]Hee uchawi unatoka wapi mkuu?Uchawi mubashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2962]Hee uchawi unatoka wapi mkuu?Uchawi mubashara
mkuu unauza ngada au? nn icho unaficha ivo?Hata mimi nina mpango wa kujenga ukuta, vibaka wamezidi. Nifanye mambo yangu ndani kwa ndani.
Kwani huyo housegirl wake hana simu ? au hukuchukua namba yake mapema?Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake.
Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika.
Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri kainua ukuta mrefu kama ule wa yeriko.[emoji57] sasa hatuonani tena hata wiki inaweza ikakata.
Haya sio maisha yetu waafrika maisha ya kitumwa kabisa haya.
[emoji43][emoji94][emoji43][emoji94]Kwani huyo housegirl wake hana simu ? au hukuchukua namba yake mapema?