Jirani kanikwaza sana kajenga fensi

INAELEKEA AMESHAKUGUNDUA JICHO LIKO KWA MY WIFE WAKE KILA MARA, PUNGUZA UASHERATI
 
acha roho ya kwa nini mkuu
 
Picha pleased🙊
 
wewe ni ombaomba acha hiyo tabia, zama za kuomba moto / chumvi zishapitwa na wakati dogo.
 
Kuta ni nzuri kwa privacy ila nyumba usio na uzio huwa ni nzuri sana kwa uhuru wa macho angalau fence ya kawaida fupi ya mbao nikiwa na kwangu nitapenda ya aina hiyo
 
Hata mimi nina mpango wa kujenga ukuta, vibaka wamezidi. Nifanye mambo yangu ndani kwa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…