MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mimi ni kijana wa miaka 25, nimepanga chumba kimoja uswahilini na hii nyumba tuko wapangaji kwenye vyumba vitatu. Tatizo linalonisumbua ni jirani yangu mmoja ana msichana wake ana matatizo kidogo ya maskio ambayo wakati wa kufanya mambo yao msichana huwa anatoa sauti kali sana(nadhani huyu msichana huwa hajisikii mwenyewe) na hivi nyumba zetu hazina hata ceiling board basi mambo huwa magumu sana kwa sisi majirani esp mimi single boy.
Tatizo lingine kubwa ni uwezo wa huyu jirani yangu kusustain kwenye game kwa muda mrefu na hivyo kelele kuwa muda mrefu,mfano juzi amepiga mambo zaidi ya masaa mawili.Msaada, je nimwambie apunguze muda wa game au amfunge msichana wake mdomo,au nimchongee kwa mama mwenye nyumba apewe notisi.
Jamani msaada wenu ni muhimu kwangu