Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
nilimwambia dalali anitafutie chumba hayo maeneo chenye gypsum,tiles ,choo na bafu ndani kwa bajeti yangu ya 30,000 kwa mwezi lkn aliniambia nisipotoka ofisini kwake ataniitia polisi,sijui hata tatizo lilikua nini?
cheap is expensive.... vumilia tu
mm kuna jirani yangu naye ana mchezo huo huo...nilichofanya na mm nikatafuta cd ya ngono nikapandisha sauti adi juu ...ikawa ngoma draw ...sasa wanafanya mambo yao kimya kimya ...
we unataka chumba cha starehe namna hiyo kwa hela ya mihogo!
huyo dalali ni balaa mwingine angekunasa vibao