kwikwikwikwi.....jf tamu aseeeee looooooo....
.mbavu zangu mieee
Acha chabo dogo utapofuka.
sipigi chabo lkn naona wananishawishi kufanya hivyo
Bora uwapishe tu.....
Huyu jamaa kuna thredi yke humu ana mke na mtoto, mwenye link atuwekee.
Na wewe mtokee huyo kiziwi upige mambo
Huyu jamaa kuna thredi yke humu ana mke na mtoto, mwenye link atuwekee.
Humu ndani usiamini saaana story Za Mtu..Za kutunga kibao
nilimwambia dalali anitafutie chumba hayo maeneo chenye gypsum,tiles ,choo na bafu ndani kwa bajeti yangu ya 30,000 kwa mwezi lkn aliniambia nisipotoka ofisini kwake ataniitia polisi,sijui hata tatizo lilikua nini?
Wafanye kimyakimya kwani wapo mazikoni?