Acha ubaguzi wa kijinga.....utafanya watu hata wakipangisha nyumba waanze kuulizwa makabila!!Hao wanawake wanalazimishwa au wanakubali wenyewe????Kama wanakubali kwa hao wanaweza kumkubali mtu mwingine yeyote yule!!
Enhe na wewe lako lipi.,...embu taja tukuchambue kwanza!!
Kama ni Wakunyumba niambie vizuri, inawezekana umekaa na wanyasa ukadhani ni wangoni fanya tena utafiti!These are stories passed up from historical lineage!...Nimeishi na wangoni wengi sana, na ni watu wa kawaida na wanaheshimika sana..Dont tell me huenda ilikuwa vice-versa!
Yanaweza kuhusika kwa upande mwingine binafsi napenda sana jirani yangu akiwa mmasai jamaa wametulia kweli.Sidhani km makabila yanahusika hapo, tabia ya mtu tu
Duh! ndugu yangu umefika mbali hao watani zetu tulipigana nao siku nyingi sana kwa sasa ni utani tu! Tena wenyewe ndo walikuwa wanapenda ugomvi mpaka wakakimbizwa South Africa.Hata rwanda walianza hivi hivi,mwisho wa siku ikawa mauaji ya kimbali(genocide killings).
unataka wawe jirani zako nini?Vp kwa wanawake? Hakuna ambao wana majina yanayochukua waume za watu?
unataka wawe jirani zako nini?
Fanya utafiti mwenyewe utatuletea data hapa yaani hawa wakunyumba wanatisha!
Si unajua masharobaro!