Jirani yako akiwa mngoni, chunga mkeo.

Jirani yako akiwa mngoni, chunga mkeo.

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Ni kama utani vile lakini naamini siku moja utakuja kuthibitisha maneno yangu kama utapata jirani ambaye ni mngoni. Jamaa wanatisha kwa kuchakachua wake za watu, Kama huwajui ukipata jirani mwenye jina la mnyama au linalofanana na mnyama anza kuwa na mashaka, Ukisikia Mapunda, Ngonyani, Tembo, Matembo anza kutafuta mbinu za ulinzi shirikishi kwa mkeo, yaani Wangoni ni balaaa!
 
Acha ubaguzi wa kijinga.....utafanya watu hata wakipangisha nyumba waanze kuulizwa makabila!!Hao wanawake wanalazimishwa au wanakubali wenyewe????Kama wanakubali kwa hao wanaweza kumkubali mtu mwingine yeyote yule!!

Enhe na wewe lako lipi.,...embu taja tukuchambue kwanza!!
 
These are stories passed up from historical lineage!...Nimeishi na wangoni wengi sana, na ni watu wa kawaida na wanaheshimika sana..Dont tell me huenda ilikuwa vice-versa!
 
Nilifikiri nitaanza na wakunyumba wale wa Pamfaranyaki nawajua vizuri watani zangu kule kuchukua mke wa mtu ni fahari kubwa!
 
These are stories passed up from historical lineage!...Nimeishi na wangoni wengi sana, na ni watu wa kawaida na wanaheshimika sana..Dont tell me huenda ilikuwa vice-versa!
Kama ni Wakunyumba niambie vizuri, inawezekana umekaa na wanyasa ukadhani ni wangoni fanya tena utafiti!
 
Vp kwa wanawake? Hakuna ambao wana majina yanayochukua waume za watu?
 
Vp kwa wanawake? Hakuna ambao wana majina yanayochukua waume za watu?
Wanawake sijajua ingawa wengi wa kizaramo nimewahi kusikia wakijitapa kwa kuchukua waume za watu hapo sisemi sana kwani wazaramo si watani wangu.
 
Hata rwanda walianza hivi hivi,mwisho wa siku ikawa mauaji ya kimbali(genocide killings).
 
Hata rwanda walianza hivi hivi,mwisho wa siku ikawa mauaji ya kimbali(genocide killings).
Duh! ndugu yangu umefika mbali hao watani zetu tulipigana nao siku nyingi sana kwa sasa ni utani tu! Tena wenyewe ndo walikuwa wanapenda ugomvi mpaka wakakimbizwa South Africa.
 
Mke hachungwi babu, kama haumpi yote atakayo watakusaidia wenzako. mtimizie haja zake hatapata tamaa.
 
Fanya utafiti mwenyewe utatuletea data hapa yaani hawa wakunyumba wanatisha!

Gazeti sidhani kama nahitaji huo utafiti.. siwezi danganya nimewahi kutana
kimwili na mkaka mmoja.. hapana, hivyo i know what am talking about..
sio lazima awe mngoni kuwa mkareee....
 
Back
Top Bottom