Jirani yako akiwa mngoni, chunga mkeo.

Dah! hiyo AVATAR inanikumbusha walipokuwa wanahama kutoka South Afrika kuja Tanzania. Tatizo kwa kule Ungonini kuchukua mke wa mtu ni kama kwa watu fulani ilivyokuwa heshima kwao kutunza busha.
Duu mkuu, mbona hizi sifa sawa kabisa na za wale jamaa wanaoamkiana 'habari ja lelelo' Sikujua kama ule mkoa ni balaa tupu.
 
Tatizo ni hao wake za watu wanajua fika jinsi wakunyumba wanavyomudu kulea wake ,wake za watu ni wenyewe wanajigonga kama samaki na chambo,mtani tumeishakujeruhi nini,ukiona mtu anaisifu mvua hujue imemshea
 
Mautamu ma ujanja ma utundu!!!! mbona mnapenda kujisifia sana jamani?? hii si ni siri ya kila mlaji ndio ajuaye kashibishwa au bado??
 
Si kwamba wa kunyumba ni wataalamu wa kumpika na kumla samaki no, bali ni wavuvi wazuri yaani namaanisha kwamba ni wataalamu wa kuwachomoa hata samaki waliojificha kwenye miamba. Tatizo ni kwamba wanaweza hata kuiba samaki ambaye tayari yuko ndani ya kapu au tenga
 
mbona mm sijawah kuchukua mke wa mtu?
Ukiona hivyo baba yako alikuwa mfanyakazi ukakulia kwenye mikoa mingine na kama ni kinyume na hivyo basi huko kwenu unadharaulika yaani si jasiri.
 
Mautamu ma ujanja ma utundu!!!! mbona mnapenda kujisifia sana jamani?? hii si ni siri ya kila mlaji ndio ajuaye kashibishwa au bado??
Acha wajisifie ni kweli wako juu sana
 
mbona wangoni tunajadiliwa sana humu na kujengewa mtazamo - kwa jamii????ngono ni hulka ya mtu,hebu huyu mtoa mada ajaribu kuliangalia kwa mapana hili
 
tema mate pembeni. yapo makabila hayavumi lakini wee ukiwachekea utakula mabua lol
 
We GaZETI na Topic Za WaNGONI HAUCHOKI TU?
 
Pole sana ndugu....! Msifia mvua ujue imemnyeshea.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…