MakalioUnataka uanze kupanda mbegu njema...
Mwanzoni ulikua unapanda nini?
Usiwafundishe watu roho mbaya hiyo ya kwako,wengine wanafanya zaidi ya hapo.
Ni
Ni faraja mno mfanyakazi anayekufanyia kazi ukamchukulia kama mtoto wako au kama mwana familia hii inampatia amani ya moyo na shauku ya kuendelea kufanya kazi vizuri zaidi.
Una shida Mahali si bureBig mistake !
Mfanyakazi i Mafanyakazi na siyo mtoto wako wala ndugu yako, mlipe vizuri kama mfanyakazi ili aweze kujitegemea na kuishi vizuri lkn abakie Mfanyakazi, kama unataka awe ndugu au mtoto unaweza kumpandisha hiyo chati kwa kubadilsha ktk Mafanyakazi kuwa mtoto na ukampa na haki zote kama mtoto wako mpaka urithi, lkn hawezi kuwa Mfanyakazi tena.
Unataka beberu au sio?Nipeni connection na mabeberu
Jamaa anaroho ngumuUna shida Mahali si bure
..
KivipiInategemea ...
Na yeye pia ana bahati ya kupata wafanyakazi wazuri... .
Chai !!!!Hakika hapa duniani kuna binadamu wanatabia njema sana!
Jirani yangu pamoja na mkewe! Wana maisha ya kawaida kabisa kama yangu ya kipato cha kati!
Wakiishiwa hela wananiazima, vivyo nami nawaazima vyao nikiishiwa. Tuna maisha ya kawaida sana!
Lakini Jirani Siku zote hapo kwake haishi kupokea vijana wa kazi za ndani wa kike na kiume kwa siku zote tulizofahamiana!
Vijana hao alikuwa akinitambulisha kuwa ni watoto wa kaka na Dada zake (ndugu) wamekuja kumtembelea!
Sikuwahi kuhisi hata siku kuwa wale ni wafanyakazi!
Style yake ya maisha anavyoishi nao! anawahudumia kila kitu kama watoto wake wa kuzaa! Mke wake pia anapika nao chakula kwa zamu!
Kiufupi huwezi kabisa kujua yupi ni mtoto na yupi ni mfanyakazi!
Cha ajabu zaidi mfanyakazi akitimiza mwaka anamwandikisha chuo, (private sponsored) anasomesha kuanzia ngazi ya chini hadi degree, na ada anawalipia vizuri!
Na likizo wanarudi kama watoto wa pale!! Mmoja anaoingia chuo ndipo huagiza mfanyakazi mwingine mpya! Hivyo hivyo!
Wakati jirani yangu akifanya hivi! Mimi na Mke wangu tuko kwenye ugomvi mkubwa kwasababu kafumania meseji za house girl wangu navyomtafuna! Ndoa iko mashakani hadi majirani wameingia kusuruhuhishwa!
Ndipo huyu jamaa jirani kaamua kunisihi kuniambia kuwa hawa watoto tunatakiwa kuwahudumia na kuwasaidia kama watoto wetu! Siyo vizuri kuwarubuni kabisa!
Kaniambia hadi hivi leo, kashasomesha house girl watatu na boy mmoja (jumla wanne) na sasa kuna mwingine wa tano juzi katoka kuchukua form pale magogoni!
Ananisihi sana, badala ya kuwageuza wake, niwaone kama watoto wangu! Niwasaidie wafikie malengo!
Hakika nimesikia maumivu makubwa sana kwa tabia na moyo wa kipekee alionao jilani yangu!
Hakika nimemuelewa jirani yangu ni mtu wa kipekee sana!
Natamka wazi sitamtaka wala kumtamani house girl teeena! Hata akiwa na matako makubwa kama behewa! Sithubutu!
Nitafanya kama jirani yangu alivyo kuanzia sasa, hata kama iwe elimu ndogo ya ufundi chelehani nitasomesha ili nipande mbegu njema!
Mungu ambariki jirani yako kwa kuwasaidia hao na kukushauri uache njia mbayaHakika hapa duniani kuna binadamu wanatabia njema sana!

Naunga mkono hoja na kukazia kabisa.....tenda wema uende zako..... na pia wema ni akiba, siku moja akiba itakurudia kwa namna yoyote ambayo Mungu ataona inafaaHata kama ni chai, hii Ni breakfast, food for thought. Hakika twatakiwa kutenda wema kila wakati
Hakuna lisilowezekana kwa Mungu. Mtu akiwa na nia ya dhati kabisa ya kubadilisha tabia yake mbovu kwa kumwomba Mungu amsaidie, hakika atabadilika.Huwezi badilika, tabia ni kama ngozi!!
Hongera jirani. Mpe mkewe salute kubwa.
una roho ya akina mdee na wenzake...Guys binadamu wenye roho mbaya wanahesabika duniani
wengi wenye roho mbaya si wao ila ni umaskini uliowazidi
kusomesha binti chuo private ulipie ada na makorokoro yakubidi
uwe nazo wasiowasomesha wengi shida ni uwezo,watoto wake wenyewe
wameishia la SABA yeye mwenyewe ana zero form 4 leo aje asomeshe dada wa kazi
Pesa ikiwepo huwa naamini hata nia mbaya/tabia mbaya/roho mbaya za binadamu zitapungua sana.
Hata huyo mfanyakazi si unaweza kumuasili badala ya kwenda huko vituoni? Kuasili kwenyewe unaweza fanya rasmi kwa kujaza makaratasi au isivyo rasmi kwa kumchukulia huyo mfanyakazi kama mwanao. Where is that BIG mistake?Big mistake !
Kama ni Mfanyakazi mpe stahiki yake, mlipie NSSF kila mwezi pamoja na Bima ya Afya basi hayo mengine siyo kazi yako, kama unataka mtoto nenda kaasili Vituo wapo watoto wengi wenye mahitaji, ...
Anawekeza pia, kuna kuwekeza kwa watu, ardhi, rasilimali na maliasiliHakika hapa duniani kuna binadamu wanatabia njema sana!