Jirani yangu ana moyo wa kipekee sana, huwa anasomesha wafanyakazi wa ndani (house boy & girl) hadi Chuo Kikuu

Hamjamroga kweli kwa wivu wenu Wa kiswahili
 
Hata huyo mfanyakazi si unaweza kumuasili badala ya kwenda huko vituoni? Kuasili kwenyewe unaweza fanya rasmi kwa kujaza makaratasi au isivyo rasmi kwa kumchukulia huyo mfanyakazi kama mwanao. Where is that BIG mistake?

Hapo sawa, kama ukimuasili anakuwa mtoto wako sasa unaweza fanya yote hayo lkn kama ni Mfanyakazi na abakie Mfanyakazi na mpaka lazima uwepo, alipwe vizuri anachostahili basi.
 
Kuna wafanyakazi...heri ukutane na shetani... ...
kuna majanga mengi sana yanatokea kwenye familia nyingi...kisa ni wafanyakazi..japo na wazuri wapo wachache...
Wengine wanatumwa kabisa anakuja..keshajipanga.. ...
 
Big mistake !

Kama ni Mfanyakazi mpe stahiki yake, mlipie NSSF kila mwezi pamoja na Bima ya Afya basi hayo mengine siyo kazi yako, kama unataka mtoto nenda kaasili Vituo wapo watoto wengi wenye mahitaji, ...
Acha roho mbaya kwani wakiwasomesha kuna shida gani?
 
Hii chai ni ya tangawizi itakua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…