EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Akifika Sumbawanga ndo utajua anatisha au yuko serious.Wengine wanajua kutisha watu, kuku Bei gani alafu nauli kwenda na kurudi si Bora anunue kuku mwingine tu.
Ukinunua kuku mwingine jambo hili litajirudia bora ugharamike halafu wawe na uoga kurudia kugusa vya watu.Wengine wanajua kutisha watu, kuku Bei gani alafu nauli kwenda na kurudi si Bora anunue kuku mwingine tu.
Anamroga,gharama za kupona ni laki 5Wengine wanajua kutisha watu, kuku Bei gani alafu nauli kwenda na kurudi si Bora anunue kuku mwingine tu.