Jirani yangu kaenda Sumbawanga kisa kuku wake kapotea

Jirani yangu kaenda Sumbawanga kisa kuku wake kapotea

Wengine wanajua kutisha watu, kuku Bei gani alafu nauli kwenda na kurudi si Bora anunue kuku mwingine tu.
Huwezi jua alipomtoa na alikua wa kazi gani. Labda kaibiwa malighafi
 
Kama kichwa kinavyojieleza wakuu,

Kuku wa jirani Yangu amepotea sasa jirani yangu huyu yeye badala yakuniuliza kasafiri Kimya Kimya kwenda sumbawanga sasa Matatizo huwayanatatuliwa hivyo Jamani.

Jana jioni ndio napata taarifa yake kuwa amekwenda Sumbawanga kwaajili ya swala la kuku wake.
Kuku mwenyewe hakuwa mtamu wala nini.
 
Kaka km umemchukua ni bora umrudishe tu

Heri nusu shari
 
Rudisha kuku wa watu.. shauri yako
 
Back
Top Bottom