Jirani yangu kaenda Sumbawanga kisa kuku wake kapotea

Wengine wanajua kutisha watu, kuku Bei gani alafu nauli kwenda na kurudi si Bora anunue kuku mwingine tu.
Huwezi jua alipomtoa na alikua wa kazi gani. Labda kaibiwa malighafi
 
Kuku mwenyewe hakuwa mtamu wala nini.
 
Kaka km umemchukua ni bora umrudishe tu

Heri nusu shari
 
Rudisha kuku wa watu.. shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…