Kwanini misikti ivunjwe na makanisa yavunjwe? Basi hata uwanja wa mkapa uvunjwe maana wakicheza Yanga na Simba maeneo ya jirani huipata Pata kwa adha na fujo za wasshabikiNilisema misikiti na makanisa yavunjwe ni upumbavu kila mtu aswali na kumuomba mungu nyumbani mwake DINI azijaleta faida yoyote hata moja...misikiti 2 na makanisa 2 kia wilaya yanatosha au kwa kuanziatunaweza kuamlisha siku ya ibada iwe moja tu kama ilivyo amriwa waislamu ijumaa tu kisha misikiti ifungwe kelele za kuitwana swala zisiwepo nq wakristo ni siku moja tu kwa week.
Adhana dakika 2 tu sio kero, kero kama amewasha maspika wanatia makasida au madufu. Hilo Hilo halikubaliki..lkn kama anatoa mawaidha Hilo ni kero dogo sana maana anaongea mtu mmoja tu na wengine husikiliza. Kuongea mtu mmoja sio kero
Hatusemi kengele za kanisani za asubuhi au j2. Tunaongelea kuwasha maspika usiku , mchana na jioni kwa wiki nzima tena full. Au hujafahamu?Haya si ndiyo ya nyani kutoona nanihii?
Hatusemi kengele za kanisani za asubuhi au j2. Tunaongelea kuwasha maspika usiku , mchana na jioni kwa wiki nzima tena full. Au hujafahamu?
Kero na udini wapi na wapi?Punguza udini
Kagame kafanyaje?Tuongelee vyote Hadi bar na viwanja vya mpira. Tukifanya hivyo na kuuweka ubinafsi pembeni suluhu itapatikana. Kwenye hilo apongezwe Kagame asiyeangalia makunyanzi!
Kwa mujibu wa sheria za mazingira. Kuna standard db imewekwa kama kiwango cha sauti kinachovumilika kwenye makazi ya watu na juu ya hapo inakuwa ni kerere kisheria.
Kagame kafanyaje?
Na hapo lazima kanisa liwe la mabati😁Nifanyeje?
Usiku na mchana ni kwaya tu, wakati mwengine wanatia kanda na kuwasha maspika ya nje wao wapo majumbani.
Hawana Jumamosi, jumapili au ijumaa , siku zote wao ndio hivyo.
Kuna shule karibu nao wanaipata Pata.
Tufanyeje? Tuhame mpaka shule nayo tuihamishe?
Umesoma nilicho andika...? Misikiti inatakiwa kuwa sehemu maharumu tu na makanisa ni hivyo hivyo bora kuwa na makanisa na misikiti michache mikubwa kuliko uchafu wa makanisa na misikiti kila uchochoroKwanini misikti ivunjwe na makanisa yavunjwe? Basi hata uwanja wa mkapa uvunjwe maana wakicheza Yanga na Simba maeneo ya jirani huipata Pata kwa adha na fujo za wasshabiki
Yeye kakaa madarakani miaka mingapi? Sio kero kwa watu? Basi hata vyoovya kunya viwekwe mbali na makazi ya watu yananukaKagame kelele ni kelele tu iwe garage, msikiti, kabisa, mahubiri, sherehe, bar, mpira nk. Zote hizo ni KERO mbali na makazi ya watu!
Mbona husemi bar nazo ziwe mbili kila Wilaya?Nilisema misikiti na makanisa yavunjwe ni upumbavu kila mtu aswali na kumuomba mungu nyumbani mwake DINI azijaleta faida yoyote hata moja...misikiti 2 na makanisa 2 kia wilaya yanatosha au kwa kuanziatunaweza kuamlisha siku ya ibada iwe moja tu kama ilivyo amriwa waislamu ijumaa tu kisha misikiti ifungwe kelele za kuitwana swala zisiwepo nq wakristo ni siku moja tu kwa week.
Makanisa kila j2 ok, lkn misikiti kila saa 3 au 5 unatakiwa uswali..ukiweka mbali na watu si itakuwa kero?Umesoma nilicho andika...? Misikiti inatakiwa kuwa sehemu maharumu tu na misikiti ni hivyo hivyo bora kuwa na makanisa na misikiti michache mikubwa kuliko uchafu wa makanisa na misikiti kila uchochoro
Ulisha wai kusikia taifa lolote limeingia kwenye machafuko kwa sababu ya uchochezi wa bar?....dini na madhehebu ni vitu hatari kwa taifa vikiendekezwa taifa linaweza kuangamia ...tumia akiliMbona husemi bar nazo ziwe mbili kila Wilaya?
Mlokole akienda kanisani kila siku ni tatizo ila mlevi akienda bar kila siku sio tatizo?!!
Yeye kakaa madarakani miaka mingapi? Sio kero kwa watu? Basi hata vyoovya kunya viwekwe mbali na makazi ya watu yananuka
Madawa ya kulevya hujawahi kusikia? Vita vyake bikubwaUlisha wai kusikia tsifa lolote limeingia kwenye machafuko kwa sababu ya uchochezi wa bar dini na madhehebu ni vitu hatari kwa taifa vikiendekezwa taifa linaweza kuangamia ...tumia wkili
Mkuu mbona kuna muda nzuri tu, ila kwenye comments unakuja kujifyatua akili kwa hali ya ajabu sanaYeye kakaa madarakani miaka mingapi? Sio kero kwa watu? Basi hata vyoovya kunya viwekwe mbali na makazi ya watu yananuka
Ujui uislamu kuswali misikitini ni ijumaa zaidi swala 5 siyo msikitini wew unadhani waarabu awafanyi kazi awaendeshi meli awa safiri kwa ndege awaendi vitani huko msikiti hskuna ila swala zipo pale pale hata kipindi cha muhammad wewe unadhani kwa vimisikiti vichache na vidogo vya kipindi kile vingetosha waislamu wote wa muhammad...tambua tofauti ya swala 5 na msikiti ...swala siyo msikiti na msikiti siyo swala ...kumbuka wapo wafungwa kwenye majela ya duniani na hakuna misikiti je kwa mujibu ya uislamu awatakiwi kuswali swala 5 kwa sababu ya kukosa msikitiMakanisa kila j2 ok, lkn misikiti kila saa 3 au 5 unatakiwa uswali..ukiweka mbali na watu si itakuwa kero?