Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
kUna sehem waliwah kuwafata ni wabishi hao mpaka ilibik kuwafikisha mahakaman lakin napo bado waliendelea kupiga mzikiKwa upuuzi kama huo Kagame aliwaweza. Ukiwafata utaskia mbona hamzikatazi bar.
Au kwanini hamkatazi misikiti.
Labda useme hujawahi experience hii scenario, hili linakuaga mzozo mkubwa sana na uzuri kwenye malalamiko kama haya hata waumini wanaoishi eneo hilo hua na wenyewe wapo kwenye mapambano mkuu🤣Acha chuki za kiimani mpuuzi wee, hakuna kanisa la hivyo linalopiga kwaya muda wote. Mnakuaga na chuki mkiona makanisa ya mnaowaita walokole yamechipuka mitaani kwenu mnaona ni kero
Ubaya ubaya tuHapo mwenye nguvu ndie atakawafukuza wenzake
karipoti kwa viongozi wa mtaaNifanyeje?
Usiku na mchana ni kwaya tu, wakati mwengine wanatia kanda na kuwasha maspika ya nje wao wapo majumbani.
Hawana Jumamosi, jumapili au ijumaa , siku zote wao ndio hivyo.
Kuna shule karibu nao wanaipata Pata.
Tufanyeje? Tuhame mpaka shule nayo tuihamishe?
Labda useme hujawahi experience hii scenario, hili linakuaga mzozo mkubwa sana na uzuri kwenye malalamiko kama haya hata waumini wanaoishi eneo hilo hua na wenyewe wapo kwenye mapambano mkuu
Hoja ni frequency za kwenda kanisani vs kwenda bar!!Ulisha wai kusikia tsifa lolote limeingia kwenye machafuko kwa sababu ya uchochezi wa ba?....dini na madhehebu ni vitu hatari kwa taifa vikiendekezwa taifa linaweza kuangamia ...tumia wkili
Kero za kidini ni moja ya vyanzo vya chuki ...tumia akiliHoja ni frequency za kwenda kanisani vs kwenda bar!!
Dini inaweza leta machafuko hata kama watu wakienda kanisani mara moja kwa mwaka. Na machafuko hutokana na kupandikiza sumu ya chuki huko kwenye dini. Kwa mfano mafundusho ya Ukristo ni upendo amani, kweli na haki. Hapo machafuko yanatoka wapi?
Sio kero kwako kwa wengine ni KEROAdhana dakika 2 tu sio kero, kero kama amewasha maspika wanatia makasida au madufu. Hilo Hilo halikubaliki..lkn kama anatoa mawaidha Hilo ni kero dogo sana maana anaongea mtu mmoja tu na wengine husikiliza. Kuongea mtu mmoja sio kero
Ilikuwa zamani, mlokole lazima awe choka mbaya...walokole wana ushamba mwingi sana
Dawa ni kuiba hayo maspika kila siku.Nifanyeje?
Usiku na mchana ni kwaya tu, wakati mwengine wanatia kanda na kuwasha maspika ya nje wao wapo majumbani.
Hawana Jumamosi, jumapili au ijumaa , siku zote wao ndio hivyo.
Kuna shule karibu nao wanaipata Pata.
Tufanyeje? Tuhame mpaka shule nayo tuihamishe?
Tunajua kuna fujo nyingi sana. Lakini kwa nini serikali isiingilie kati na kuweka utaratibu kama nchi nyingine walivyoweka utaratibuKwa upuuzi kama huo Kagame aliwaweza. Ukiwafata utaskia mbona hamzikatazi bar.
Au kwanini hamkatazi misikiti.
Duniani hatuwezi fanana Imani na mitazamo. Huwezi lazimisha wote wawe na dini wala huwezi lazimisha wote wasiwe na dini.Kero za kidini ni moja ya vyanzo vya chuki ...tumia akili
Una udini Sana weweKero na udini wapi na wapi?
Sawa sawa na tundu lissu na siasa?Una udini Sana wewe