Jirani yangu kuna kanisa la walokole

TUnawashukuru Walokole kwa kumpigia makelele huyo mtu anajiita malaria. Maana nayeye, anatupigia kelele kwa mabandiko yake ya udini hapa. Walokole kazi nimoja hapo, kelele mwa mwi. Mkihitaji maspika makubwa zaidi tutayaleta.
 
Duniani hatuwezi fanana Imani na mitazamo. Huwezi lazimisha wote wawe na dini wala huwezi lazimisha wote wasiwe na dini.
Shuleni ulisoma religious tolerance??
Tutumie akili....
Ndiyo maana dini zibaki mioyoni siyo kuleteana kero au kuziingiza dini kwenye mashule ya elimu dunia au serikalini
 
TUnawashukuru Walokole kwa kumpigia makelele huyo mtu anajiita malaria. Maana nayeye, anatupigia kelele kwa mabandiko yake ya udini hapa. Walokole kazi nimoja hapo, kelele mwa mwi. Mkihitaji maspika makubwa zaidi tutayaleta.
Karibu tutwashtaki mahakamani, jitokeze kuwa wakili wao
 
Nenda kwa viongozi wa serikali. Watapewa elimu na kuelekezwa. Watu wanahitaji utulivu kwa nyakati flani. Si sawa kutoa sauti za juu katika mazingira yenye watu kwa saa 24, siku hadi siku, mfululizo. Zaweza kusumbua na kuadhiri afya ya watu wengine wanaohitaji umakini juu ya mambo mengine
 
Aisee na mimi nakaa jirani na msikiti
Wana kispika chao cha mwaka 47 kinapiga kelele balaa mtaa mzima

Maudhi zaidi ni asubuhi kuna lijamaa linaongea kwa vitisho kweli watu wakaswali
Dini yangu ukristo.
Kwa kelele makanisa Yana ongoza kuliko misikiti
 
Hi
Hiyo akili wanayo Sasa mkuu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…