Jirani yangu mke wa mtu ananishawishi

Sasa unataka ushauriwe vipi hapa? Wewe ni mume wa mtu na yule ni mke wa mtu, tena jirani kabisa. Unashindwa kumkaripia na kumwambia amind hamsini zake?
 
Mzee baba kula utakavyo Mimi huu mwaka wa 5 sasa nakula wake za watu na sikamatwi natumia mbinu mbadala na teknolojia ya hali ya juu kudate nao. Kila kitu kinawezekana bosi. [emoji1] [emoji3] [emoji122] [emoji122]
 
Achana na uzinzi tafuta pesa usomeshe watoto usije ukawaacha yatima ukatuaribia uchumi wetu wa vyerehani vinne
 
Japo hataki mmeo ajue,acha fix kijana.
 
Kuna mambo mengne ndio maana Hawa ndugu zetu wa mkoan wanaongea sana juu yetu sie wa daslam kwel hilo la kuombea ushaur?
Ulitakiwa Uje hapa useme kwamba umeshamkula sasa anakusumbua anataka tena Period.
 
Unaumri gani kwanza? Hatare ya make wa mtu unaifahamu? Wanawake ni watu wa kuwaangalia sana maana wanaweza kukupoteza fasta bila sababu za msingi.
Hapa kinachoonekana unamhofia mumewe pamoja na mkeo, sio ndoa yako wala take. Onananae mutamalize uje na mrejesho.
NB:Bwanake alikutilia mashaka tangu siku ulipochezanae siku ya harusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…