Jirani yangu mke wa mtu ananishawishi

Jirani yangu mke wa mtu ananishawishi

Mzee baba kula utakavyo Mimi huu mwaka wa 5 sasa nakula wake za watu na sikamatwi natumia mbinu mbadala na teknolojia ya hali ya juu kudate nao. Kila kitu kinawezekana bosi. [emoji1] [emoji3] [emoji122] [emoji122]
 
Achana na uzinzi tafuta pesa usomeshe watoto usije ukawaacha yatima ukatuaribia uchumi wetu wa vyerehani vinne
 
Habari zenu wanajamvi,
Niende moja kwa moja kwenye mada Mie nashukuru Mungu nimefanikiwa kupata Kibanda nje kidogo ya jiji la Bashite nimehamia kama mwaka sasa hapa,
Sasa kuna Jirani yangu mmoja hapa kama nyumba ya tatu kutoka kwangu mke wake toka siku ya kwanza nilipokutana nae nakujua tupo jirani imekuwa kama device zimematch.
Hata ikitokea tukakutana njiani imekuwa ni mtihani kidogo kutokana na body language inavyokuwa,
Juzi kazi hapa walikuwa wanabariki ndoa yao kama Jirani nilishiriki vikao na nilikuwa mmoja wapo wa wanakamati siku ya sherehe ilikuwa balaa sana kwanza wakati muziki alitaka tucheze pamoja mbele ya mmewe japo sikupenda baada ya harusi amekuwa ananitumia sms mara Asante kwa kuwa pamoja mara anaomba tuonane kuna issue ya kuongea na Mie japo hataki mmewe ajue na hata sifaham namba yangu ameipata Wapi japo dizain flan na Mie nimemwelewa lakini nahofia mmewe na Mie wife lakini naona speed yake sio nzuri sana.
Naomba ushauri nimkwepe vipi huyu?
Japo hataki mmeo ajue,acha fix kijana.
 
Kuna mambo mengne ndio maana Hawa ndugu zetu wa mkoan wanaongea sana juu yetu sie wa daslam kwel hilo la kuombea ushaur?
Ulitakiwa Uje hapa useme kwamba umeshamkula sasa anakusumbua anataka tena Period.
 
Unaumri gani kwanza? Hatare ya make wa mtu unaifahamu? Wanawake ni watu wa kuwaangalia sana maana wanaweza kukupoteza fasta bila sababu za msingi.
Hapa kinachoonekana unamhofia mumewe pamoja na mkeo, sio ndoa yako wala take. Onananae mutamalize uje na mrejesho.
NB:Bwanake alikutilia mashaka tangu siku ulipochezanae siku ya harusi.
 
Back
Top Bottom