JIRANI YANGU MLEVI*

JIRANI YANGU MLEVI*

mbwana semsimbazi

Senior Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
196
Reaction score
202
Kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia naona anagonga mlango wake karibu masaa mawili hivi wakati mlango anaogonga anaishi peke yake, kwa kuwa sipendagi ujinga nimetoka na kumwambia mwenyewe hayupo kasafiri ,kisha akajiondokea zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahaa mbona nawe anasema wewe kiwembe Kwa mahouse girl wa majirani?
 
Back
Top Bottom