habari wadau..
nina jiran mswahili full kuchunguzana na kuja kunidoea mboga zangu....
sasa nimeamua kujenga ukuta ili kumzibia njia asiweze kuja.. ila sina hela za kujenga ukuta huo..
nataka nitumie style ya mjomba trump ukuta wake wa usa... naomben mawazo nitumie mbinu gani huu ukuta alipie jiran yangu mwenyewe...
atake asitake lazima yeye ndie alipie huu ukuta..
Hivi anawabebesha mzigo consumer wa Marekani au anawakomesha wamexico?Mwenzako amepandisha kodi kwa bidhaa zinazotoka Mexico, je wewe una nini cha kumfanyinzia huyo mswahili?
Jamaa hamnazo. Kinachofanyika ni kuzifanya bidhaa za Mexico ziuzwe ghali na hivyo zitashindwa kununulika ndani ya MarekaniHivi anawabebesha mzigo consumer wa Marekani au anawakomesha wamexico?
habari wadau..
nina jiran mswahili full kuchunguzana na kuja kunidoea mboga zangu....
sasa nimeamua kujenga ukuta ili kumzibia njia asiweze kuja.. ila sina hela za kujenga ukuta huo..
nataka nitumie style ya mjomba trump ukuta wake wa usa... naomben mawazo nitumie mbinu gani huu ukuta alipie jiran yangu mwenyewe...
atake asitake lazima yeye ndie alipie huu ukuta..
Yaani mdoeaji wa mboga apate uwezo wa kujenga ukuta halafu anayedoewa mboga hana uwezo wa kujenga ukuta. Kwa maneno mengine anayekula mboga ya millioni kumi anashindwa kujenga ukuta halafu anataka anayekula mboga ya shilingi mia tano ajenga ukuta. Hii haikuji kabisa = no logic!!
Mexico anauza cocaine tuu marekaniHivi anawabebesha mzigo consumer wa Marekani au anawakomesha wamexico?
umeshajiuliza mexico na usa nani ni tajiri??
umaskini sio sababu.. mbona ukuta wanautaka usa ila wanalipia wa mexico... ni ujanja tu na ubabe
Mbona kuna wa Tz wanasafirisha unga China ,Malaysia,India nk ina maana unataka Ku conclude Tanzania inauza unga tuMexico anauza cocaine tuu marekani