jirani yangu msumbufu nataka nijenge ukuta ila lazima yeye ndie alipie gharama za ukuta..ushauri plz

Mbona kuna wa Tz wanasafirisha unga China ,Malaysia,India nk ina maana unataka Ku conclude Tanzania inauza unga tu

Hizo unga zinalipiwa kodi kwani si zinaingizwa kimagendo..

Kwani Mexico viwanda hakuna Joh??

Mexico ndio nchi ya 3 Ku export bidhaa nyingi USA wame export thamani ya $236 billion last year
Bidhaa zote hizo ni ghafi,Mexico viwanda avitoe wapi joh?
Sasa solution unayo unauliza nini tena; ila ujue mazingira yako na jirani yako ni tofauti na ya huko USA na Mexico.
 
habari wadau..

nina jiran mswahili full kuchunguzana na kuja kunidoea mboga zangu....

sasa nimeamua kujenga ukuta ili kumzibia njia asiweze kuja.. ila sina hela za kujenga ukuta huo..

nataka nitumie style ya mjomba trump ukuta wake wa usa... naomben mawazo nitumie mbinu gani huu ukuta alipie jiran yangu mwenyewe...

atake asitake lazima yeye ndie alipie huu ukuta..
Mkuu, mbona izee tu... Mfanye mkewe awe mchepuko wako alafu hakikisha unamchuna...
 
habari wadau..

nina jiran mswahili full kuchunguzana na kuja kunidoea mboga zangu....

sasa nimeamua kujenga ukuta ili kumzibia njia asiweze kuja.. ila sina hela za kujenga ukuta huo..

nataka nitumie style ya mjomba trump ukuta wake wa usa... naomben mawazo nitumie mbinu gani huu ukuta alipie jiran yangu mwenyewe...

atake asitake lazima yeye ndie alipie huu ukuta..
Umeamua kujenga ukuta Ila auna hela?? WTF
 
Hivi anawabebesha mzigo consumer wa Marekani au anawakomesha wamexico?
Habebi consumer huo mzigo!!
Ukiuza kwa bei tofauti na ubora wa bidhaa ili kufidia kodi consumer wana opt bidhaa za brand nyingine.
Yatakudodea!!!!
 
Bidhaa zote hizo ni ghafi,Mexico viwanda avitoe wapi joh?
Vifaa vya magari
Magari
Machinery
Mafuta
Mazao nk

Mexico kuna viwanda vingi sana ase

Wamarekani "wafanyabiashara" wanategemea mexico ili biashara zao zinyooke sasa ajira za watu zipo mikononi mwa Trump

$297Billion hela nyingi sana hizo ,

Kivyovyote wafanyabiashara,wafanyakazi wataathirika tena lukuki achilia mbali wateja
 
Habebi consumer huo mzigo!!
Ukiuza kwa bei tofauti na ubora wa bidhaa ili kufidia kodi consumer wana opt bidhaa za brand nyingine.
Yatakudodea!!!!
Not all goods have close substitutes. Further brand loyalty

Not all goods have close substitutes. Further brand loyalty dictates consumer preference ,he will buy a particular brand whatever the price change.
 
That monotype brand is exclusively "Mexican flag"
 
Back
Top Bottom